Yanga waombeni msamaha mashabiki

Yanga waombeni msamaha mashabiki

Hivi unajua maana na malengo ya mechi ya kirafiki? Bilashaka Wewe utakuwa babra unashida kweli ebu jifunze mpira na umshauri vizuri Mo,Nafikiri ndiyo maana ulikwepa kufanya tamasha lako Tarehe 28/8 kwa kuogopa aibu ila kumbuka mficha maradhi kifo umuumbua.Utaumbuka tu wewe luka luka ,kimbia kimbia kuficha madhaifu ya kikosi chako Cha Simba ila siku yaja tena wala si mbali Tarehe zimekaribia lazima uyakanyage .
Kapumbuuuuuuu
 
View attachment 1917873

Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda.
Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo

Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya mwaka. Baadae alikuja msaani mwingine anaitwa Kabwili nadhani ni kipa yule. Msikilize alichoimba
Wasipoomba msamaha wewe utafanyaje?
 
Back
Top Bottom