OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hivi unajua maana na malengo ya mechi ya kirafiki? Bilashaka Wewe utakuwa babra unashida kweli ebu jifunze mpira na umshauri vizuri Mo,Nafikiri ndiyo maana ulikwepa kufanya tamasha lako Tarehe 28/8 kwa kuogopa aibu ila kumbuka mficha maradhi kifo umuumbua.Utaumbuka tu wewe luka luka ,kimbia kimbia kuficha madhaifu ya kikosi chako Cha Simba ila siku yaja tena wala si mbali Tarehe zimekaribia lazima uyakanyage .View attachment 1917873
Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda.
Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo
Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya mwaka. Baadae alikuja msaani mwingine anaitwa Kabwili nadhani ni kipa yule. Msikilize alichoimba
Mama j fcHivi unajua maana na malengo ya mechi ya kirafiki? Bilashaka Wewe utakuwa babra unashida kweli ebu jifunze mpira na umshauri vizuri Mo,Nafikiri ndiyo maana ulikwepa kufanya tamasha lako Tarehe 28/8 kwa kuogopa aibu ila kumbuka mficha maradhi kifo umuumbua.Utaumbuka tu wewe luka luka ,kimbia kimbia kuficha madhaifu ya kikosi chako Cha Simba ila siku yaja tena wala si mbali Tarehe zimekaribia lazima uyakanyage .
View attachment 1917873
Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda.
Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo
Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya mwaka. Baadae alikuja msaani mwingine anaitwa Kabwili nadhani ni kipa yule. Msikilize alichoimba
Hali ilikua Kama hivi.[QUOTE="OKW BOBAN SUNZU, post: 40089681, member: 52569"
Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda.
Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo
Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya mwaka. Baadae alikuja msaani mwingine anaitwa Kabwili nadhani ni kipa yule. Msikilize alichoimba
Hali ilikua Kama hivi.[/QUOTE][QUOTE="OKW BOBAN SUNZU, post: 40089681, member: 52569"
Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda.
Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo
Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya mwaka. Baadae alikuja msaani mwingine anaitwa Kabwili nadhani ni kipa yule. Msikilize alichoimba
Il mama j mmempa sifa nyingi sana mbona hana maajabu sana? Au kuna part two ambayo mimi sijaiona?Watuombe msamaha zaidi kwa hili la Mama J
Ipo! Hiyo ni balaa...Il mama j mmempa sifa nyingi sana mbona hana maajabu sana? Au kuna part two ambayo mimi sijaiona?
Ni upepe tu ,wakawaida ila ana kishudu ,sema jamaa ndo kaniangusha ,kitambi kubwa mb..oo ndogoIl mama j mmempa sifa nyingi sana mbona hana maajabu sana? Au kuna part two ambayo mimi sijaiona?
Hivi unajua maana na malengo ya mechi ya kirafiki? Bilashaka Wewe utakuwa babra unashida kweli ebu jifunze mpira na umshauri vizuri Mo,Nafikiri ndiyo maana ulikwepa kufanya tamasha lako Tarehe 28/8 kwa kuogopa aibu ila kumbuka mficha maradhi kifo umuumbua.Utaumbuka tu wewe luka luka ,kimbia kimbia kuficha madhaifu ya kikosi chako Cha Simba ila siku yaja tena wala si mbali Tarehe zimekaribia lazima uyakanyage .
Unamuonea wivu tu.Il mama j mmempa sifa nyingi sana mbona hana maajabu sana? Au kuna part two ambayo mimi sijaiona?
Alifanya upumbavu tu, mimi mwanayanga si kumuimbisha kitu hajui.View attachment 1917873