Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii ndo style mupya ya kumfukuza mnyama au???Pengine hii ndiyo habari inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wapenda soka Tanzania. yaani sio kwa upuuzi ule, Yanga wapewe tu pointi zao.
Kagera walichezesha mchezaji ambaye hakustahili, tukapokonywa pt 3 ambazo zilitunyima ubingwa.Pengine hii ndiyo habari inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wapenda soka Tanzania. yaani sio kwa upuuzi ule, Yanga wapewe tu pointi zao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanga ina jukumu la kimataifa ...tuachane na ushabiki wa mchangani
siuoni ukweli wa taarifa hiiPengine hii ndiyo habari inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wapenda soka Tanzania. yaani sio kwa upuuzi ule, Yanga wapewe tu pointi zao.
Hajar naomba usome hii comment [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]point za mezani alikuwa anatoa malinzi
vyura nyie! subirini 29 april mtasema tupo 22 uwanjani
Sheria inasema.....matokeo ya uwanjani yanabaki kama yalivyo.Hivi sheria inasemaje kwa tukio kama hili?
Yanga Apewa faulo ya Upendeleo kwa Mchezaji wake Kuanguka/kuteleza bila Kuangushwa na Kupewa Faulo iliosababisha wapate goli!Pengine hii ndiyo habari inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wapenda soka Tanzania. yaani sio kwa upuuzi ule, Yanga wapewe tu pointi zao.
Siyo hivyooo na usiseme hivyo kwan ww ndiye tff? Mbona wamatopen munamidomo domo sana?point za mezani alikuwa anatoa malinzi
vyura nyie! subirini 29 april mtasema tupo 22 uwanjani