CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Ni mwanasimba kweli na vijana wetu hawakuvaa jezi za sportspesa hao wahuni nashangaa wamenyamaziwAWaache watakuita wewe ni mwana simba
Ngoja Karia ajeNi mwanasimba kweli na vijana wetu hawakuvaa jezi za sportspesa hao wahuni nashangaa wamenyamaziwA
Hoja mfu sana youth teams zinaanzia 23 kushuka chini foden kitu gani kuna watu washacheza ligi na miaka 15Under 20 sio watoto.
Watoto ni under 18
Foden wa Man City ana miaka 17/18 tu na anacheza timu ya wakubwa.
fifa wanasisitiza kwamba youth teams hakuna kuvaa jezi zenye nembo ya makampuni ya kamari.Under 20 sio watoto.
Watoto ni under 18
Foden wa Man City ana miaka 17/18 tu na anacheza timu ya wakubwa.
Sasa kipi ni kipi??Hoja mfu sana youth teams zinaanzia 23 kushuka chini foden kitu gani kuna watu washacheza ligi na miaka 15
Youth teams na Youths kwenye timu za wakubwa hawana tofauti?fifa wanasisitiza kwamba youth teams hakuna kuvaa jezi zenye nembo ya makampuni ya kamari.
Sasa kipi ni kipi??
Basi hao wenye miaka under 23 wasicheze timu za wakubwa....au jezi zao ziwe tofauti na wengi
Siyo mimi nilitunga kanuni jiulize kwa nini simba hawakuvaa hizo jezi za sportspesaSasa kipi ni kipi??
Basi hao wenye miaka under 23 wasicheze timu za wakubwa....au jezi zao ziwe tofauti na wengine
sijui nikupinge ,Youth teams na Youths kwenye timu za wakubwa hawana tofauti?
Kwani hiyo nembo ya Sportpesa ndiyo iliyo wasababishia kushika nafasi ya pli?Sheria ziko wazi hadi fifa wanasisitiza kwamba youth teams hakuna kuvaa jezi zenye nembo ya makampuni ya kamari.
Hawa jamaa michuano ya under 20 walivaaa jezi zenye nembo yq sportspesa
Jibu la kiutopolo sana.mmevunja kanuni aibu sana sijafatiliau 17 ila nimeona simba kule wamevaa visit tz sitashangaa kukuta utopolo wametinga sportspesa kwenye u 17Kwani hiyo nembo ya Sportpesa ndiyo iliyo wasababishia kushika nafasi ya pli?
[emoji23] [emoji1787] We jamaa wewe! Imenibidi nicheke tu[emoji23][emoji1787]Under 20 sio watoto.
Watoto ni under 18
Foden wa Man City ana miaka 17/18 tu na anacheza timu ya wakubwa.
Siyo mimi nilitunga kanuni jiulize kwa nini simba hawakuvaa hizo jezi za sportspesa
Unacheka nini[emoji23] [emoji1787] We jamaa wewe! Imenibidi nicheke tu[emoji23][emoji1787]
Soma tena ulichokiandika.Unacheka nini
Sawa.Soma tena ulichokiandika.
Hiyo nembo ndio imecheza?Sheria ziko wazi hadi fifa wanasisitiza kwamba youth teams hakuna kuvaa jezi zenye nembo ya makampuni ya kamari.
Hawa jamaa michuano ya under 20 walivaaa jezi zenye nembo yq sportspesa
Sijajua ila ni kanuniHiyo nembo ndio imecheza?