Yanga wapokonywe medali ya under 20

Yanga wapokonywe medali ya under 20

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Sheria ziko wazi hadi fifa wanasisitiza kwamba youth teams hakuna kuvaa jezi zenye nembo ya makampuni ya kamari.

Hawa jamaa michuano ya under 20 walivaaa jezi zenye nembo yq sportspesa
 
  • Thanks
Reactions: Lee
yanga waacheni jamani , kile kijiwe cha watu
 
Under 20 sio watoto.

Watoto ni under 18

Foden wa Man City ana miaka 17/18 tu na anacheza timu ya wakubwa.
fifa wanasisitiza kwamba youth teams hakuna kuvaa jezi zenye nembo ya makampuni ya kamari.
 
Sasa kipi ni kipi??

Basi hao wenye miaka under 23 wasicheze timu za wakubwa....au jezi zao ziwe tofauti na wengi

Sasa kipi ni kipi??

Basi hao wenye miaka under 23 wasicheze timu za wakubwa....au jezi zao ziwe tofauti na wengine
Siyo mimi nilitunga kanuni jiulize kwa nini simba hawakuvaa hizo jezi za sportspesa
 
Kwani hiyo nembo ya Sportpesa ndiyo iliyo wasababishia kushika nafasi ya pli?
Jibu la kiutopolo sana.mmevunja kanuni aibu sana sijafatiliau 17 ila nimeona simba kule wamevaa visit tz sitashangaa kukuta utopolo wametinga sportspesa kwenye u 17
 
Back
Top Bottom