Yanga warekebishe namna wanavyoanza mechi pale Kwa Mkapa

mjogoro

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
882
Reaction score
652
Mechi nyingi walizocheza nyumbani wamekuwa na makosa mengi hasa ya kiulinzi, kukosa kujiamini na ubunifu wa kupanga mashambulizi. Inawachukua zaidi ya dakika 15 kuanza kuwa makini na kufanya mipango ya hatari. Mechi na Ruvu, Biashara, Kagera, Geita gold, Mbeya city na hata KMC hawakuanza vizuri. Ni bahati yao timu hizo zina errors nyingi kuweza kuwaadhibu. Yanga wamekuwa na mwanzo mzuri wakicheza na Simba tu. Possibly wanakamiaga sana derby. Pia wanacheza vizuri ugenini.
Ushauri: Wakafanyie kazi jambo hili haraka iwezekanavyo, ipo siku watalia
 
Wewe jamaa unaujua sana mpira wa miguu,hilo jambo nimelizungumzia Jana wakati game inaendelea kusema ukweli siku tukikutana na timu yenye washambuliaji aggressive tutaumia
 
Mechi nyingi walizocheza nyumbani wamekuwa na makosa mengi hasa ya kiulinzi, kukosa kujiamini na ubunifu wa kupanga mashambulizi. Inawachukua zaidi ya dakika 15 kuanza kuwa makini na kufanya mipango ya hatari. Mechi na Ruvu, Biashara, Kagera, Geita gold, Mbeya city na hata KMC hawakuanza vizuri. Ni bahati yao timu hizo zina errors nyingi kuweza kuwaadhibu. Yanga wamekuwa na mwanzo mzuri wakicheza na Simba tu. Possibly wanakamiaga sana derby. Pia wanacheza vizuri ugenini.
Ushauri: Wakafanyie kazi jambo hili haraka iwezekanavyo, ipo siku watalia
Upo sahihi hapo japo kuna wengine watakuletea makasiriko, uliposema wanaanza vizuri wakicheza na Simba SC na Wanakamia.

Lengo la timu ndogo siku zote ni kuifunga timu Kubwa na Bora Barani Afrika.
 
Mechi nyingi walizocheza nyumbani wamekuwa na makosa mengi hasa ya kiulinzi, kukosa kujiamini na ubunifu wa kupanga mashambulizi. Inawachukua zaidi ya dakika 15 kuanza kuwa makini na kufanya mipango ya hatari. Mechi na Ruvu, Biashara, Kagera, Geita gold, Mbeya city na hata KMC hawakuanza vizuri. Ni bahati yao timu hizo zina errors nyingi kuweza kuwaadhibu. Yanga wamekuwa na mwanzo mzuri wakicheza na Simba tu. Possibly wanakamiaga sana derby. Pia wanacheza vizuri ugenini.
Ushauri: Wakafanyie kazi jambo hili haraka iwezekanavyo, ipo siku watalia
Bro kuongea ni rahisi,lakini ukiwa humo uwanjani ni kiyu tofauti kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mechi nyingi walizocheza nyumbani wamekuwa na makosa mengi hasa ya kiulinzi, kukosa kujiamini na ubunifu wa kupanga mashambulizi. Inawachukua zaidi ya dakika 15 kuanza kuwa makini na kufanya mipango ya hatari. Mechi na Ruvu, Biashara, Kagera, Geita gold, Mbeya city na hata KMC hawakuanza vizuri. Ni bahati yao timu hizo zina errors nyingi kuweza kuwaadhibu. Yanga wamekuwa na mwanzo mzuri wakicheza na Simba tu. Possibly wanakamiaga sana derby. Pia wanacheza vizuri ugenini.
Ushauri: Wakafanyie kazi jambo hili haraka iwezekanavyo, ipo siku watalia
Hilo ni sahihi, lakini embu jaribu kufatilia vizuri hizo mechi ulizozitaja zilichezwa kwa mapungufu ya key players. Ila sidhani kama kuna mechi ilikuwa na tatizo kama hilo pindi kikosi kamili cha kikosi cha kwanza kinapopangwa labda itokee kukaa muda mrefu pasipo kucheza mechi.
 
Hata hao Simba wana mengi ya kurekebisha ili kujihakikishia nafasi ya kushiriki kimataifa mwakani
Nipo ndani ya mada ya kilichoandikwa, kuharibu ni kutoka nje ya kilicholetwa ubaoni..Tuna tofauti ya uelewa tu na si lazima uelewa..!
 
Back
Top Bottom