Mechi nyingi walizocheza nyumbani wamekuwa na makosa mengi hasa ya kiulinzi, kukosa kujiamini na ubunifu wa kupanga mashambulizi. Inawachukua zaidi ya dakika 15 kuanza kuwa makini na kufanya mipango ya hatari. Mechi na Ruvu, Biashara, Kagera, Geita gold, Mbeya city na hata KMC hawakuanza vizuri. Ni bahati yao timu hizo zina errors nyingi kuweza kuwaadhibu. Yanga wamekuwa na mwanzo mzuri wakicheza na Simba tu. Possibly wanakamiaga sana derby. Pia wanacheza vizuri ugenini.
Ushauri: Wakafanyie kazi jambo hili haraka iwezekanavyo, ipo siku watalia
Ushauri: Wakafanyie kazi jambo hili haraka iwezekanavyo, ipo siku watalia