Wewe jamaa unaujua sana mpira wa miguu,hilo jambo nimelizungumzia Jana wakati game inaendelea kusema ukweli siku tukikutana na timu yenye washambuliaji aggressive tutaumiaMechi nyingi walizocheza nyumbani wamekuwa na makosa mengi hasa ya kiulinzi, kukosa kujiamini na ubunifu wa kupanga mashambulizi. Inawachukua zaidi ya dakika 15 kuanza kuwa makini na kufanya mipango ya hatari. Mechi na Ruvu, Biashara, Kagera, Geita gold, Mbeya city na hata KMC hawakuanza vizuri. Ni bahati yao timu hizo zina errors nyingi kuweza kuwaadhibu. Yanga wamekuwa na mwanzo mzuri wakicheza na Simba tu. Possibly wanakamiaga sana derby. Pia wanacheza vizuri ugenini.
Ushauri: Wakafanyie kazi jambo hili haraka iwezekanavyo, ipo siku watalia
Upo sahihi hapo japo kuna wengine watakuletea makasiriko, uliposema wanaanza vizuri wakicheza na Simba SC na Wanakamia.Mechi nyingi walizocheza nyumbani wamekuwa na makosa mengi hasa ya kiulinzi, kukosa kujiamini na ubunifu wa kupanga mashambulizi. Inawachukua zaidi ya dakika 15 kuanza kuwa makini na kufanya mipango ya hatari. Mechi na Ruvu, Biashara, Kagera, Geita gold, Mbeya city na hata KMC hawakuanza vizuri. Ni bahati yao timu hizo zina errors nyingi kuweza kuwaadhibu. Yanga wamekuwa na mwanzo mzuri wakicheza na Simba tu. Possibly wanakamiaga sana derby. Pia wanacheza vizuri ugenini.
Ushauri: Wakafanyie kazi jambo hili haraka iwezekanavyo, ipo siku watalia
Ushaanza kuharibu Uzi wa nwenzako kwa kuleta umbumbumbu wako sasaUpo sahihi hapo japo kuna wengine watakuletea makasiriko, uliposema wanaanza vizuri wakicheza na Simba SC na Wanakamia.
Lengo la timu ndogo siku zote ni kuifunga timu Kubwa na Bora Barani Afrika.
Bro kuongea ni rahisi,lakini ukiwa humo uwanjani ni kiyu tofauti kabisaMechi nyingi walizocheza nyumbani wamekuwa na makosa mengi hasa ya kiulinzi, kukosa kujiamini na ubunifu wa kupanga mashambulizi. Inawachukua zaidi ya dakika 15 kuanza kuwa makini na kufanya mipango ya hatari. Mechi na Ruvu, Biashara, Kagera, Geita gold, Mbeya city na hata KMC hawakuanza vizuri. Ni bahati yao timu hizo zina errors nyingi kuweza kuwaadhibu. Yanga wamekuwa na mwanzo mzuri wakicheza na Simba tu. Possibly wanakamiaga sana derby. Pia wanacheza vizuri ugenini.
Ushauri: Wakafanyie kazi jambo hili haraka iwezekanavyo, ipo siku watalia
Wewe jamaa unaujua sana mpira wa miguu,hilo jambo nimelizungumzia Jana wakati game inaendelea kusema ukweli siku tukikutana na timu yenye washambuliaji aggressive tutaumia
Hilo ni sahihi, lakini embu jaribu kufatilia vizuri hizo mechi ulizozitaja zilichezwa kwa mapungufu ya key players. Ila sidhani kama kuna mechi ilikuwa na tatizo kama hilo pindi kikosi kamili cha kikosi cha kwanza kinapopangwa labda itokee kukaa muda mrefu pasipo kucheza mechi.Mechi nyingi walizocheza nyumbani wamekuwa na makosa mengi hasa ya kiulinzi, kukosa kujiamini na ubunifu wa kupanga mashambulizi. Inawachukua zaidi ya dakika 15 kuanza kuwa makini na kufanya mipango ya hatari. Mechi na Ruvu, Biashara, Kagera, Geita gold, Mbeya city na hata KMC hawakuanza vizuri. Ni bahati yao timu hizo zina errors nyingi kuweza kuwaadhibu. Yanga wamekuwa na mwanzo mzuri wakicheza na Simba tu. Possibly wanakamiaga sana derby. Pia wanacheza vizuri ugenini.
Ushauri: Wakafanyie kazi jambo hili haraka iwezekanavyo, ipo siku watalia
Bro kuongea ni rahisi,lakini ukiwa humo uwanjani ni kiyu tofauti kabisa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Upo sahihi hapo japo kuna wengine watakuletea makasiriko, uliposema wanaanza vizuri wakicheza na Simba SC na Wanakamia.
Lengo la timu ndogo siku zote ni kuifunga timu Kubwa na Bora Barani Afrika.
Nipo ndani ya mada ya kilichoandikwa, kuharibu ni kutoka nje ya kilicholetwa ubaoni..Tuna tofauti ya uelewa tu na si lazima uelewa..!Ushaanza kuharibu Uzi wa nwenzako kwa kuleta umbumbumbu wako sasa
Unachodhani anacho hana.Ushaanza kuharibu Uzi wa nwenzako kwa kuleta umbumbumbu wako sasa
Ni kweli lkn wanapaswa kuwa makini sana kama mtoa mada aluvyodadavua huko juuPamoja na hayo ndio timu inayoongoza kufungwa magoli machache tu ,magoli 4
Namungo dk 2Takwimu zinaoneshwa magoli mengi kafungwa dakika zipi?
Dah! We jamaa ni mchokozi na mchonganishi.Ushaanza kuharibu Uzi wa nwenzako kwa kuleta umbumbumbu wako sasa
Kwanini?Dah! We jamaa ni mchokozi na mchonganishi.
Umefikiria mbali Sana mkuu.Kwanini?
Nipo ndani ya mada ya kilichoandikwa, kuharibu ni kutoka nje ya kilicholetwa ubaoni..Tuna tofauti ya uelewa tu na si lazima uelewa..!