Yanga warekebishe namna wanavyoanza mechi pale Kwa Mkapa

Kwa Mkapa mwaka huu wamefungwa magnoli mawili. Vs Biashara (dk ya 1 na wakakoswa goli la wazi dk ya 9).......Vs Ruvu shooting (dk 8.20).
Lkn hata mechi ambazo hawakufungwa wali-struggle sana dakika za mwanzo
Takwimu zinaoneshwa magoli mengi kafungwa dakika zipi?
 
Nimeongelea mechi za kwa Mkapa (nyumbani). Sahihisha hizo dakika. Ingia azam sports urudie kuchek. Pia ikumbukwe Yanga atacheza mechi nyingi nyumbani round hii
Namungo dk 2
Biashara dk 12
Prisons dk 52
Ruvu shooting dk 80
 
Eti Thread inahusu Yanga.. Sasa hapo unaongea ujinga gani? Ina maana Simba SC kwenye huo Uzi hajatajwa?
Wewe ni zwaza tawaza ukae na shemeji yako usubiri Dada yako atafunwe ndy upate Riziki yako,huu Uzi umefunguliwa kwa ajili ya Yanga MBUMBUMBU hauwahusu pimbi wewe
 
Wewe ni zwaza tawaza ukae na shemeji yako usubiri Dada yako atafunwe ndy upate Riziki yako,huu Uzi umefunguliwa kwa ajili ya Yanga MBUMBUMBU hauwahusu pimbi wewe
Wewe kweli Mwehu..! Badala ya kujibu nilivyokuuliza wewe unaleta taarabu.

Acha nikuache tu maana isijekuwa nahangaika na kiumbe ambaye yupo kwenye uangalizi wa Madaktari kuhusu Afya ya Akili...Period
 
Kwanini tugombane? Ni hoja tu
Wewe kweli Mwehu..! Badala ya kujibu nilivyokuuliza wewe unaleta taarabu.

Acha nikuache tu maana isijekuwa nahangaika na kiumbe ambaye yupo kwenye uangalizi wa Madaktari kuhusu Afya ya Akili...Period
 
Upo sahihi hapo japo kuna wengine watakuletea makasiriko, uliposema wanaanza vizuri wakicheza na Simba SC na Wanakamia.

Lengo la timu ndogo siku zote ni kuifunga timu Kubwa na Bora Barani Afrika.
Mkuu hapo kaleta Uzi ukiwa neutral we umeanza makandokando
 
Kwa Mkapa mwaka huu wamefungwa magnoli mawili. Vs Biashara (dk ya 1 na wakakoswa goli la wazi dk ya 9).......Vs Ruvu shooting (dk 8.20).
Lkn hata mechi ambazo hawakufungwa wali-struggle sana dakika za mwanzo
Hata ile ya polisi tz,
 
Wewe kweli Mwehu..! Badala ya kujibu nilivyokuuliza wewe unaleta taarabu.

Acha nikuache tu maana isijekuwa nahangaika na kiumbe ambaye yupo kwenye uangalizi wa Madaktari kuhusu Afya ya Akili...Period
[emoji16][emoji16] mbona malumbano yasiyo na msingi
 
Kitaalamu Yanga inaonekana hufanya mazoezi magumu ata wakiwa kwenye mashindano ( ligi) iyo inasababisha mechi inapo anza miili inachelewa kufunguka, yaani akili inataka ila mwili unachelewa kufanya maamuzi.
Baada ya dk 15 mbaka 20 miili hufunguka na apo ndipo kazi huanza.
Kuhusu Yanga kumkamia Simba si kweli, Simba imekua ikifungwa na Yanga tangu 1936 ilipo anzishwa na imeendelea kufungwa mbaka leo.
Timu yoyote inaweza ikatangulia kuifunga Yanga ila Shida inakuja Yanga wakisha changanya je! Utamudu mziki wao?
 
Unaweza kuwa sahihi. Lkn ndo watapaswa kurekebisha hali hiyo. Wamekuwa na makosa mengi mwanzoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…