Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Huyo jamaa kaja na ujinga wa kuisifia simba wakati thread inaihusu YangaUmefikiria mbali Sana mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa kaja na ujinga wa kuisifia simba wakati thread inaihusu YangaUmefikiria mbali Sana mkuu.
Wewe ndio huwa unasema hauna Usimba na Uyanga kwa comment za namna hii, acha unafiki mkuu...!!!Unachodhani anacho hana.
Takwimu zinaoneshwa magoli mengi kafungwa dakika zipi?
Eti Thread inahusu Yanga.. Sasa hapo unaongea ujinga gani? Ina maana Simba SC kwenye huo Uzi hajatajwa?Huyo jamaa kaja na ujinga wa kuisifia simba wakati thread inaihusu Yanga
Namungo dk 2
Biashara dk 12
Prisons dk 52
Ruvu shooting dk 80
Wewe ni zwaza tawaza ukae na shemeji yako usubiri Dada yako atafunwe ndy upate Riziki yako,huu Uzi umefunguliwa kwa ajili ya Yanga MBUMBUMBU hauwahusu pimbi weweEti Thread inahusu Yanga.. Sasa hapo unaongea ujinga gani? Ina maana Simba SC kwenye huo Uzi hajatajwa?
Wewe kweli Mwehu..! Badala ya kujibu nilivyokuuliza wewe unaleta taarabu.Wewe ni zwaza tawaza ukae na shemeji yako usubiri Dada yako atafunwe ndy upate Riziki yako,huu Uzi umefunguliwa kwa ajili ya Yanga MBUMBUMBU hauwahusu pimbi wewe
Wewe kweli Mwehu..! Badala ya kujibu nilivyokuuliza wewe unaleta taarabu.
Acha nikuache tu maana isijekuwa nahangaika na kiumbe ambaye yupo kwenye uangalizi wa Madaktari kuhusu Afya ya Akili...Period
Eti Thread inahusu Yanga.. Sasa hapo unaongea ujinga gani? Ina maana Simba SC kwenye huo Uzi hajatajwa?
Mkuu hapo kaleta Uzi ukiwa neutral we umeanza makandokandoUpo sahihi hapo japo kuna wengine watakuletea makasiriko, uliposema wanaanza vizuri wakicheza na Simba SC na Wanakamia.
Lengo la timu ndogo siku zote ni kuifunga timu Kubwa na Bora Barani Afrika.
Kila mtu hufanyiwa judgement kulingana na fani yake, yes inaweza ikawa ngumu kwa mtoa mada coz siyo mchezaji bt Yuko na jicho la kujua Nini kinaendelea uwanjaniBro kuongea ni rahisi,lakini ukiwa humo uwanjani ni kiyu tofauti kabisa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hata ile ya polisi tz,Kwa Mkapa mwaka huu wamefungwa magnoli mawili. Vs Biashara (dk ya 1 na wakakoswa goli la wazi dk ya 9).......Vs Ruvu shooting (dk 8.20).
Lkn hata mechi ambazo hawakufungwa wali-struggle sana dakika za mwanzo
[emoji16][emoji16] mbona malumbano yasiyo na msingiWewe kweli Mwehu..! Badala ya kujibu nilivyokuuliza wewe unaleta taarabu.
Acha nikuache tu maana isijekuwa nahangaika na kiumbe ambaye yupo kwenye uangalizi wa Madaktari kuhusu Afya ya Akili...Period
Hata ile ya polisi tz,
Wewe ndio huwa unasema hauna Usimba na Uyanga kwa comment za namna hii, acha unafiki mkuu...!!!
Kichwa chako kimejaa mavi?Upo sahihi hapo japo kuna wengine watakuletea makasiriko, uliposema wanaanza vizuri wakicheza na Simba SC na Wanakamia.
Lengo la timu ndogo siku zote ni kuifunga timu Kubwa na Bora Barani Afrika.
Kichwa chako kimejaa mavi?
Kitaalamu Yanga inaonekana hufanya mazoezi magumu ata wakiwa kwenye mashindano ( ligi) iyo inasababisha mechi inapo anza miili inachelewa kufunguka, yaani akili inataka ila mwili unachelewa kufanya maamuzi.
Baada ya dk 15 mbaka 20 miili hufunguka na apo ndipo kazi huanza.
Kuhusu Yanga kumkamia Simba si kweli, Simba imekua ikifungwa na Yanga tangu 1936 ilipo anzishwa na imeendelea kufungwa mbaka leo.
Timu yoyote inaweza ikatangulia kuifunga Yanga ila Shida inakuja Yanga wakisha changanya je! Utamudu mziki wao?