valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Na nyie mmeiga kutoka Namungo au???Simba ndo ilianzishwa huo Mfumo ww kutafuta Mchezaji bora wa Mwezi na nyie Yanga ndo mmeiga kutoka kwao
Kama mkataba wa AzamDuh! Kwa hiyo hapo tayari ulaji umeshawapita?
Sasa sisi wanatuachaje? Kwani mpaka tupeleke watu wa masoko? Kwani hawajui kuwa na sisi tupo?Usikaririshwe hizo taasisi aziji tu Kama magenge ya wahuni, hapo idara ya masoko ya yanga inafanya kazi yake ipasavyo usidhani Kila Dili ni lazima na nyie muwepo inategemea kitengo chenu Cha masoko kimejipangaje kuwavutia wawekezaji
Tuletee iyo mikataba yao tuone namna walivyowaigaKila kitu ni KUIGA kwa Simba......
Yanga tuliyaanza haya mambo kitambo sanaHauna uhakika na unachokiongea, hazipo.?
Kwa hapa Bongo ni Simba Sc iliyoanza na mpaka sasa bado utaratibu unaendelea.
Safi technology inafanya kazi yake wameshazoea kudanganywa ndo maana waliambiwa wamewai kufika fainali CAF champions league , kumbe lilikua kombe la abiolaView attachment 2776783
Fatilia vitu acha kuwa mnazi
Umewaziba mdomo Ayubu fcSafi technology inafanya kazi yake wameshazoea kudanganywa ndo maana waliambiwa wamewai kufika fainali CAF champions league , kumbe lilikua kombe la abiola
Shirika la serikali haliwezi dhamini upande mmoja kwenye hivi vilabu vyetu vya kariakooNa Simba wamepata Hilo shavu?
Simba na Yanga kwasasa lazima ziachane kutokana na namna kufikiri za viongozi waliopo madarakani kuwa na kariba tofauti.Shirika la serikali haliwezi dhamini upande mmoja kwenye hivi vilabu vyetu vya kariakoo
Kwanza hakuna mkataba simba wamesaini kulipwa mil20 kwa mwaka, kukuhakikishia hilo GSM aliwaletewa vilabu mkataba wa kinyonyaji wa mil3 kwa mwezi ni simba pekee waliugomea na kufikia hatua ule udhamini ukafa kwa timu zote, mwisho kabisa simba wanasaini mkataba na NIC subiri utaonaSimba na Yanga kwasasa lazima ziachane kutokana na namna kufikiri za viongozi waliopo madarakani kuwa na kariba tofauti.
Simba wana Insurance yao ya MO wanayolipwa milioni 20 kwa mwaka, Yanga wao wanalipwa milion 300 kwa mwaka kwaiyo kunatofauti kubwa.
Msilazimishe kufanana kwa mikataba, Simba wanayo MO insurance.Kwanza hakuna mkataba simba wamesaini kulipwa mil20 kwa mwaka, kukuhakikishia hilo GSM aliwaletewa vilabu mkataba wa kinyonyaji wa mil3 kwa mwezi ni simba pekee waliugomea na kufikia hatua ule udhamini ukafa kwa timu zote, mwisho kabisa simba wanasaini mkataba na NIC subiri utaona
Endelea kushupaza fuvuMsilazimishe kufanana kwa mikataba, Simba wanayo MO insurance.
Kwa hio mnaiga?Kwanza hakuna mkataba simba wamesaini kulipwa mil20 kwa mwaka, kukuhakikishia hilo GSM aliwaletewa vilabu mkataba wa kinyonyaji wa mil3 kwa mwezi ni simba pekee waliugomea na kufikia hatua ule udhamini ukafa kwa timu zote, mwisho kabisa simba wanasaini mkataba na NIC subiri utaona
Mbona kama imekukera mkuu! Timu zikipata wadhamini ni jambo jema ningefurahi timu zote zipate ili ushindani uongezeke.Mbwembwe zoote mnazofanya sasa Yanga Simba huko keshapita zamani ,sasa Simba ina focus mambo mapya mazuri mazuri.
Mfano[emoji116]
View attachment 2777212