Yanga wasaini mkataba wa milioni 900 na Shirika la Bima la Taifa (NIC)

Utopolo kwa kuiga bana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Ihefu
 
Usikaririshwe hizo taasisi aziji tu Kama magenge ya wahuni, hapo idara ya masoko ya yanga inafanya kazi yake ipasavyo usidhani Kila Dili ni lazima na nyie muwepo inategemea kitengo chenu Cha masoko kimejipangaje kuwavutia wawekezaji
Sasa sisi wanatuachaje? Kwani mpaka tupeleke watu wa masoko? Kwani hawajui kuwa na sisi tupo?
 
Hauna uhakika na unachokiongea, hazipo.?

Kwa hapa Bongo ni Simba Sc iliyoanza na mpaka sasa bado utaratibu unaendelea.
Yanga tuliyaanza haya mambo kitambo sana
20231009_191842.jpg
 
Shirika la serikali haliwezi dhamini upande mmoja kwenye hivi vilabu vyetu vya kariakoo
Simba na Yanga kwasasa lazima ziachane kutokana na namna kufikiri za viongozi waliopo madarakani kuwa na kariba tofauti.

Simba wana Insurance yao ya MO wanayolipwa milioni 20 kwa mwaka, Yanga wao wanalipwa milion 300 kwa mwaka kwaiyo kunatofauti kubwa.
 
Kwanza hakuna mkataba simba wamesaini kulipwa mil20 kwa mwaka, kukuhakikishia hilo GSM aliwaletewa vilabu mkataba wa kinyonyaji wa mil3 kwa mwezi ni simba pekee waliugomea na kufikia hatua ule udhamini ukafa kwa timu zote, mwisho kabisa simba wanasaini mkataba na NIC subiri utaona
 
Msilazimishe kufanana kwa mikataba, Simba wanayo MO insurance.
 
Mbwembwe zoote mnazofanya sasa Yanga Simba huko keshapita zamani ,sasa Simba ina focus mambo mapya mazuri mazuri.
Mfano👇

images.jpeg
 
Kwanza hakuna mkataba simba wamesaini kulipwa mil20 kwa mwaka, kukuhakikishia hilo GSM aliwaletewa vilabu mkataba wa kinyonyaji wa mil3 kwa mwezi ni simba pekee waliugomea na kufikia hatua ule udhamini ukafa kwa timu zote, mwisho kabisa simba wanasaini mkataba na NIC subiri utaona
Kwa hio mnaiga?
 
Kusaini mkataba siyo swala la kutumia muda wangu kama kama kuifikilria IHEFU ndugu yangu. Yaani IHEFU imenivurugia sana raha yangu, naapa nikikutana nao hao IHEFU watanitambua!!
 
Back
Top Bottom