Yanga wasajili mchezaji kutoka Wolves ya UK?

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Kuna shangwe kubwa mtandaoni kutoka kwa mashabiki wa deportivo la utopolo baada ya picha kusambaa mtandaoni ya mchezaji aliyevalia jezi ya Wolves akisaini kandarasi na team hiyo ya jangwani inayokamata nafasi ya 69 kwa ubora barani Afrika baada ya kujikusanyia point 1(CAF 5 year ranking)

Team hiyo ilisema safari hii wanasajili kimyakimya na kupiga picha nusu wakikata sura ki profeshno zaidi.

 
Uoga+Wivu+Chuki......

Al Ahly.....
El Merreikh...
AS Vita.......

Tukutane fainali kombe la Mapinduzi......

Nisalimie yule PAKA MWEUSI wa pale uwanjani wiki iliyopita.....
Hilo si group kama la mwaka juzi tu kaongezeka el mereikh tu hapo..ambao ni wa 31 simba wa 17 kuweni na heshima nyieeee
 
hilo si group kama la mwaka juzi tu kaongezeka el mereikh tu hapo..ambao ni wa 31 simba wa 17 kuweni na heshima nyieeee
Yaani Ahly bingwa wa michuano hii unasema ni group tu Kama la mwaka juzi kwa taarifa yako hao mabingwa na AS Vita wameimarika maradufu.

Ni kweli wote walikuja hapa. Hii inakuwa hatari zaidi ya wageni Merreikh wasiojua fitna zenu koko muwako kwa Mkapa.

Pitso Mosimane ni fundi wa fitna haswaa.

Ni Namungo pekee waliowahi kupata point Sudan.

Nisalimie yule PAKA wenu MWEUSI!!
 
Inashngaza sana utopolo mnapambania ubingwa wa vpl ili muende champions league halafu mkisikia simba kapangwa na hizo teams mnaanza kuogopa na kulialia mnadhani mkifika group stages (KAMA MKIFIKA MAANA HAMUWEZI) mnataraji amtacheza na kina ihefu?
WE ARE RANKED NUMBER 17TH in africa hatuogopi weweweee,sisi ndo wataalamu
 
na namungo anakaribia kupata point 1 kwenye Caf 5 year ranking ssytem maana kuna vilaza for the past 5 years wana point 1 tu
 
na namungo anakaribia kupata point 1 kwenye Caf 5 year ranking ssytem maana kuna vilaza for the past 5 years wana point 1 tu
Sawa....

Na the coming 5 years tutakuwa tulipo eee?!!!

Inawezekana ikiwa yule PAKA wenu mweusi ataonekana kila mechi yenu uwanjani.
 
Uoga+Wivu+Chuki......

Al Ahly.....
El Merreikh...
AS Vita.......

Tukutane fainali kombe la Mapinduzi......

Nisalimie yule PAKA MWEUSI wa pale uwanjani wiki iliyopita.....
Utopolo ni sawa na fisi anayemfuata mtu kwa nyuma usiku akitembea atadondosha mkono wakati akitembea ,mlianza kwa Plateu hadi kuwapokea uwanja wa ndege ,kwa Platnumz kwenda kuwapokea mkaona aibu mkawa mnapiga kelele tu wanaume bado tunasonga.

Now tupo makundi bado mnalalamika,hatua tuliyopiga hata miaka 10 hamfiki
 
Kishingo baada ya kuondoka tu mmemsainisha Clatous Chama usikuusiku 🤣🤣 Mikia mnaijenga timu kupitia Chama tu....endeleeni kuomba asiumie na kukaa nje kipindi kirefu tu...
 
Ahly tuliwafunga ,AS Vita tuliwafunga ,una lolote
 
Sawa.....

Halafu kuweni Waungwana...mmeshaanza kusemwa VIBAYA. CAF watawamulika kwa karibu tu.

Japo ni tuhuma ila haziachi afya njema.

1. Nisalimie yule refa wako wa Kitutsi aliyetoa ile penalty nje ya 18.
2. Nisalimie PAKA wenu mweusi...njooni naye kila mechi pale kwa Mkapa.
3. COVID 19 itakwisha tu. Sijui mtakuja na visingizio vipi hiyo miaka 10 usemayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…