njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kuna shangwe kubwa mtandaoni kutoka kwa mashabiki wa deportivo la utopolo baada ya picha kusambaa mtandaoni ya mchezaji aliyevalia jezi ya Wolves akisaini kandarasi na team hiyo ya jangwani inayokamata nafasi ya 69 kwa ubora barani Afrika baada ya kujikusanyia point 1(CAF 5 year ranking)
Team hiyo ilisema safari hii wanasajili kimyakimya na kupiga picha nusu wakikata sura ki profeshno zaidi.
Team hiyo ilisema safari hii wanasajili kimyakimya na kupiga picha nusu wakikata sura ki profeshno zaidi.