Yanga washindwa kujaza ukumbi wa sinema

Yanga washindwa kujaza ukumbi wa sinema

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Pamoja na promo kubwa iliyofanyika kupromote makala ambayo hata Mtibwa wameshafanya, mwitikio umekuwa mdogo sana leo kiasi kwamba Yanga imeshindwa kujaza kaukumbi kadogo tu ka sinema.

Hawa watani zangu wanajua kujaza sahani za ubwabwa tu ila mengine yote yanawashinda.

Screen Shot 2023-08-07 at 11.21.31 PM.png

Screen Shot 2023-08-07 at 11.23.31 PM.png
 
Pamoja na promo kubwa iliyofanyika kupromote makala ambayo hata Mtibwa wameshafanya, mwitikio umekuwa mdogo sana leo kiasi kwamba Yanga imeshindwa kujaza kaukumbi kadogo tu ka sinema.

Hawa watani zangu wanajua kujaza sahani za ubwabwa tu ila mengine yote yanawashinda.

View attachment 2711452

View attachment 2711455

Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh....!

Hata hili Wameshindwa, this is Very very Serious...!

Wakati haya yanajiri, Hakuna anayetaka Kujiuzuru...!

Wote WameNG'ANG'ANIA, Nashauri mcholopoeni mzungu pori...!
 
WALIKUWA BUZY NA SIMBA DAY.

Wakina komwe na Puriva walikuwa buzy KUFUATILIA Simba Day , Kibegi, mama Samia, che Malone, NGOMA 6.

Kila TUKIO lao linagoma.

Na HAWATAKI kumshirikisha yule ALIYESEMA wenye akili ni wawili.
Sikuhizi simuoni hata akipiga promotion.
(YOWER MUSEVEN, KARIKONJI)
 
Pamoja na promo kubwa iliyofanyika kupromote makala ambayo hata Mtibwa wameshafanya, mwitikio umekuwa mdogo sana leo kiasi kwamba Yanga imeshindwa kujaza kaukumbi kadogo tu ka sinema.

Hawa watani zangu wanajua kujaza sahani za ubwabwa tu ila mengine yote yanawashinda.

View attachment 2711452

View attachment 2711455
Kwenye hiyo documentary wamekumbuka kuliweka goli la kibu Dennis?
 
Pamoja na promo kubwa iliyofanyika kupromote makala ambayo hata Mtibwa wameshafanya, mwitikio umekuwa mdogo sana leo kiasi kwamba Yanga imeshindwa kujaza kaukumbi kadogo tu ka sinema.

Hawa watani zangu wanajua kujaza sahani za ubwabwa tu ila mengine yote yanawashinda.

View attachment 2711452

View attachment 2711455
Nuksi imeshaanza na hapo bado Kudadadeki...!!
 
Wakati mwingine ushabiki wa mpira unafanya hata watu wazima waonekane machizi hilo eneo lina kumbi tatu na zote Yanga walizichukua kwa ajili ya kuonesha hili tukio na wote waliokuja walipewa mualiko kwa hiyo ulitegemea utajaa wote halafu umeangalia huo ukuta nyuma ya huo ukumbi kuwa ni sehemu mbili tofauti hau ukuchunguza hilo jambo ?
 
Back
Top Bottom