Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kakaa mbele kama taikuna huyo demu kavaa nusu uchi hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakaa mbele kama taikuna huyo demu kavaa nusu uchi hapo
Makombe mangapi mmejaza?Wakati sie tunashangilia kujaza makombe, makolo wanashangilia kujaza uwanja😂😂
Umesahau kutaja na makombe yao ya Manzoki na Fei Toto.Tate Mkuu ukikaidi utapigwa2 makwega7 njooni muone huku msimu huu kuna shindano lao jipya ambalo wamelimeona litawafariji. Wamekuja na shindano la kujaza. Misimu iliyopita walikuwa na makombe ya Goli la sako, kufika robo fainali, kupostiwa na CAF, timu ya week, kombe la Twitter, kumfunga Yanga(a.k.a Mangungu cup) wakati Yanga wakishangilia ubingwa wa ngao ya jamii, ligi kuu na kombe la Azam federation. Kwa kifupi mnashindana katika vitu visivyokuwa na maana kwenye medali ya soka.
mpira uwanjani umeshindikina bora hata vioja vinawafariji, hio pic imepigwa saa ngapi ? by the way hio event ilikua ya watu walio alikwa alitaka watu wajae? kesho watakuja na shindano la wanawake wenye makalio makubwa wapo timu ganiTate Mkuu ukikaidi utapigwa2 makwega7 njooni muone huku msimu huu kuna shindano lao jipya ambalo wamelimeona litawafariji. Wamekuja na shindano la kujaza. Misimu iliyopita walikuwa na makombe ya Goli la sako, kufika robo fainali, kupostiwa na CAF, timu ya week, kombe la Twitter, kumfunga Yanga(a.k.a Mangungu cup) wakati Yanga wakishangilia ubingwa wa ngao ya jamii, ligi kuu na kombe la Azam federation. Kwa kifupi mnashindana katika vitu visivyokuwa na maana kwenye medali ya soka.
Yamekua hayo tenaTujaze tusijaze makombe ndo ya muhimu tu!
Yaani hiyo mikao mimi inanimaliza kabisa. Labda ndo maana mimi siyo mashuhuri hadi nipewe fursa ya kukaa meza kuu au hata ku-facilitate occasion yoyote, nadhani Mungu akijua ningepata taabu sana.🤣kuna huyo demu kavaa nusu uchi hapo
Rage aliwaza mbali sana. Hawa jamaa miaka yote wanaishi kwa matukio, na pia kama bendera fuata upepo.Tate Mkuu ukikaidi utapigwa2 makwega7 njooni muone huku msimu huu kuna shindano lao jipya ambalo wamelimeona litawafariji. Wamekuja na shindano la kujaza. Misimu iliyopita walikuwa na makombe ya Goli la sako, kufika robo fainali, kupostiwa na CAF, timu ya week, kombe la Twitter, kumfunga Yanga(a.k.a Mangungu cup) wakati Yanga wakishangilia ubingwa wa ngao ya jamii, ligi kuu na kombe la Azam federation. Kwa kifupi mnashindana katika vitu visivyokuwa na maana kwenye medali ya soka.