Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
as young Africans fans we did our work. the management shouldn't come forward we did advice them or sent letter of concern. if chaos happens. it's Hersi and management fault.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja, ila barua haijasainiwa na ingekuwa vyema ungeandika kiswahili hata wala mihogo waelewe hoja.as young Africans fans we did our work. the management shouldn't come forward we did advice them or sent letter of concern. if chaos happens. it's Hersi and management fault.
View attachment 3049910
Ni mhuni kivipi?Naunga mkono hoja, ila barua haijasainiwa na ingekuwa vyema ungeandika kiswahili hata wala mihogo waelewe hoja.
Sitaki kabisa kumuona muhuni kama Manara ndio anabeba image ya Yanga na kuwaacha vijana smart kama Ally Kamwe.
Kwanza huyu boya anapenda sana kujikweza na kujiinuwa, na hapo ni mkemavu wa ngozi, angekuwa na ngozi ngumu sijui mjini tungekaaje.
signature ina address mzee.Naunga mkono hoja, ila barua haijasainiwa na ingekuwa vyema ungeandika kiswahili hata wala mihogo waelewe hoja.
Sitaki kabisa kumuona muhuni kama Manara ndio anabeba image ya Yanga na kuwaacha vijana smart kama Ally Kamwe.
Kwanza huyu boya anapenda sana kujikweza na kujiinuwa, na hapo ni mkemavu wa ngozi, angekuwa na ngozi ngumu sijui mjini tungekaaje.
Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara na wenzake watatu wameburuzwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Imeelezwa kuwa wanadaiwa deni na fidia ya Tsh. milioni 83.3 baada ya kupokea bidhaa zenye nembo ya Dela Boss Perfume bila kuzilipia. Mbali na fedha hizo, Mlalamikaji aliyejitambulisha kwa majina ya Abu Masoud Al Jahdhamy, Ameiomba mahakama kuwaamuru washtakiwa hao watatu ambao ni, Haji Manara, Beatrice Ndungu na Palm General Supply kumlipa fidia nyingine itakayoona zinafaa ikiwemo gharama za mawakili. [ 53 more words ]Ni mhuni kivipi?
Kosoa kazi yake ulemavu ni majaliwa hakupiga magoti Kwa Mungu akaomba ulemavu.
Manara ni mhamasishaji hao akina Ali Kamwe watabaki ni nafasi zao.
Mbona Azam yupo Hashim Ibwe na zaka za kazi
tuma na reasons why, sisi we are not joking we will take manara and whoever support him Down.Ngoja na sisi tunaomtaka tuandike barua yetu, zimfikie Rais zikiwa zote mbili. Hii ya mchongo, na inatoka either Simba au kwa Ally Kamwe aka Ally Simba
Nimekuuliza unajuwa gongo wazi ni nini?Huo ni utani.
Manara alikuwa Simba kama mwajiriwa laZima utani upite na maudhi Kwa upande mwingine.
Na Sasa yupo Yanga atawatania Simba ndo culture ya mpira wetu.
We ulitaka awe Simba aseme Yanga naipenda ni team nzuri
Kuwa zeru zeru ni hali yake, ningekuona wa maana ungeshambulia hoja na sio maumbileNimekuuliza unajuwa gongo wazi ni nini?
Ukitetea hilo na yeye kuitwa zeruzeru ni haki yake.
Huna akili kichwani, mgongo wazi ni ugonjwa wa watoto wenye migongo wazi.Kuwa zeru zeru ni hali yake, ningekuona wa maana ungeshambulia hoja na sio maumbile
Gongo wazi maana yake ni mwanaume mwenye nguvu kuwa kifua wazi.
Sisi Yanga tulijiita hilo jina wenyewe Gongowazi ikiwa Yanga ni vidume viko mgongo wazi bila fulana ambapo wanawake kama Simba hawawezi kukaa Gongowazi
Wewe ndo hujui asili ya hilo jina Gongowazi Kwa Yanga?Huna akili kichwani, mgongo wazi ni ugonjwa wa watoto wenye migongo wazi.
Sasa zeruzeru anakejeri ugonjwa wa watoto wakati yeye ni mlemavu kabisa, ana akili kichwani huyo?
Shenzi type.
Barua hii ya kinafiki imeandikwa na magomamoto.Wewe ndo hujui asili ya hilo jina Gongowazi Kwa Yanga?
Unaleta tafsiri binafsi.
Nimekwambia hilo jina Gongowazi Yanga tulijiita wenyewe Lina maana mwanaume mbavu kuwa kifua au mgongo wazi bila fulana ambapo wanawake hawawezi kufanya hivo kama watani Simba.