moody kabwe
Member
- Mar 13, 2015
- 76
- 21
Itatuchukua mda sana Tanzania kubadilika na kuendeleza mpira kiukweli na sijui ni ubabaishaji gani upo katika hizi timu mapacha maana amani iliopo Yanga ninahakika haitadumu Itahamia kwa mtani wetu na Sintofahamu ilioko kwa mtani itahamia yanga hilo halina ubishi
Mwka ajana tumetolewa na All Ahaly ya Misri tukasema tumecheza vizuri ni bahati mbaya tujipange mwakani tena kwa kusema timu yetu hii kwenye kombe la shirikisho itakuwa tishio ok tulikubali hayo nikiwemo kijana mpinganaji wa Yanga
Timu ikarudi dar kilichofwata
Domayo akaenda Azamfc
Kavumbagu akaenda Azamfc
Sitivu yanga akaenda Azamfc
Baadae tukambiwa hao ni wachezaji wa kawaida sana hata kkoo wanapatikana nikweli tukaletewa JAJA NA CONRTINO Tukawasahau hao wawili ila mmoja akaondoka tukaletewa Tambwe mabao na sherman tunashukuru ila najiuliza kama kweli Tupo katika kushindana na sio kushiriki ni kwann tumetolewa na Etoile alafu tumeona kabisa mapungufu ya timu kuwa tatizo ni ufungaji tu ila timu ina viungo wazuri na mabeki wazari na makipa wazuri. Sasa kuna kitu kinaaza kunipa wasiwasi kuondoka kwa ngasa yanga na Niyo na mbuyu na Msuva na Kuna Taarifa kuwa Sherman nae ataondolewa Na conrtino hivi kama tutabomoa hiki kikosi ama hakika hata aje nani tutakuwa washiriki tu katika mashindano ya kimataifa kiukweli
Ushauri wangu mpira huu wa Tanzania utabadilishwa na mashabiki wa nchi hii kama tutaacha ushabiki na kuangalia masilahi ya soka letu kwani watawala wa mpira wameshindwa mbinu za soka kiukweli