Yanga wasiwasi sana

Yanga wasiwasi sana

moody kabwe

Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
76
Reaction score
21
Itatuchukua mda sana Tanzania kubadilika na kuendeleza mpira kiukweli na sijui ni ubabaishaji gani upo katika hizi timu mapacha maana amani iliopo Yanga ninahakika haitadumu Itahamia kwa mtani wetu na Sintofahamu ilioko kwa mtani itahamia yanga hilo halina ubishi
Mwka ajana tumetolewa na All Ahaly ya Misri tukasema tumecheza vizuri ni bahati mbaya tujipange mwakani tena kwa kusema timu yetu hii kwenye kombe la shirikisho itakuwa tishio ok tulikubali hayo nikiwemo kijana mpinganaji wa Yanga
Timu ikarudi dar kilichofwata
Domayo akaenda Azamfc
Kavumbagu akaenda Azamfc
Sitivu yanga akaenda Azamfc
Baadae tukambiwa hao ni wachezaji wa kawaida sana hata kkoo wanapatikana nikweli tukaletewa JAJA NA CONRTINO Tukawasahau hao wawili ila mmoja akaondoka tukaletewa Tambwe mabao na sherman tunashukuru ila najiuliza kama kweli Tupo katika kushindana na sio kushiriki ni kwann tumetolewa na Etoile alafu tumeona kabisa mapungufu ya timu kuwa tatizo ni ufungaji tu ila timu ina viungo wazuri na mabeki wazari na makipa wazuri. Sasa kuna kitu kinaaza kunipa wasiwasi kuondoka kwa ngasa yanga na Niyo na mbuyu na Msuva na Kuna Taarifa kuwa Sherman nae ataondolewa Na conrtino hivi kama tutabomoa hiki kikosi ama hakika hata aje nani tutakuwa washiriki tu katika mashindano ya kimataifa kiukweli
Ushauri wangu mpira huu wa Tanzania utabadilishwa na mashabiki wa nchi hii kama tutaacha ushabiki na kuangalia masilahi ya soka letu kwani watawala wa mpira wameshindwa mbinu za soka kiukweli
 
Walivyoondoka Domayo na Kavumbangu wengi tulijua Yanga itachemsha lakini umeona kilichotokea,Ujio wa Tambwe hakuna anayemkumbuka Kavumbangu
 
Wachezaji wazuri hawawezi kuja Tanzania au Yanga, rizika na hao hao
 
husomeki mkuu... anyway hayo ni maoni yako kama shabiki wa mbumbumbu na mtasubiri sana
 
Poleni sana Jangwani maana huku kwetu Msimbazi ni wasiwasi zaidi, Dan a.k.a Mpoto kabwaga manyanga hatujui anayefuata ni nani ila asiwe Okwi.

Kapunovich naye yuko njia panda, sijui hali ya Simba itakuwaje msimu ujao!
 
Walivyoondoka Domayo na Kavumbangu wengi tulijua Yanga itachemsha lakini umeona kilichotokea,Ujio wa Tambwe hakuna anayemkumbuka Kavumbangu

Kavumbagu ni takataka tu, hana lolote, alikuwa na magoli mengi kuliko Msuva, Tambwe na hata Mnigeria wa Stand United, kapitwa na wachezaji wote hao.

Kavumbagu hana sifa za kuchezea Yanga wala Azam, stahili yake ni Ruvu Shooting ya Masao Bwire.
 
Poleni sana Jangwani maana huku kwetu Msimbazi ni wasiwasi zaidi, Dan a.k.a Mpoto kabwaga manyanga hatujui anayefuata ni nani ila asiwe Okwi.

Kapunovich naye yuko njia panda, sijui hali ya Simba itakuwaje msimu ujao!

mie simba wanaoniudhi ni hawa viongozi...kina hanspope...wapuuzi sana
 
Hans Pope sio kiongozi wa kuchaguliwa wala kuajiriwa. Kateuliwa tu kwenye kamati. Ajabu ana nguvu kuliko Rais aliyemteua! Soka la Bongo.
 
Itatuchukua mda sana Tanzania kubadilika na kuendeleza mpira kiukweli na sijui ni ubabaishaji gani upo katika hizi timu mapacha maana amani iliopo Yanga ninahakika haitadumu Itahamia kwa mtani wetu na Sintofahamu ilioko kwa mtani itahamia yanga hilo halina ubishi
Mwka ajana tumetolewa na All Ahaly ya Misri tukasema tumecheza vizuri ni bahati mbaya tujipange mwakani tena kwa kusema timu yetu hii kwenye kombe la shirikisho itakuwa tishio ok tulikubali hayo nikiwemo kijana mpinganaji wa Yanga
Timu ikarudi dar kilichofwata
Domayo akaenda Azamfc
Kavumbagu akaenda Azamfc
Sitivu yanga akaenda Azamfc
Baadae tukambiwa hao ni wachezaji wa kawaida sana hata kkoo wanapatikana nikweli tukaletewa JAJA NA CONRTINO Tukawasahau hao wawili ila mmoja akaondoka tukaletewa Tambwe mabao na sherman tunashukuru ila najiuliza kama kweli Tupo katika kushindana na sio kushiriki ni kwann tumetolewa na Etoile alafu tumeona kabisa mapungufu ya timu kuwa tatizo ni ufungaji tu ila timu ina viungo wazuri na mabeki wazari na makipa wazuri. Sasa kuna kitu kinaaza kunipa wasiwasi kuondoka kwa ngasa yanga na Niyo na mbuyu na Msuva na Kuna Taarifa kuwa Sherman nae ataondolewa Na conrtino hivi kama tutabomoa hiki kikosi ama hakika hata aje nani tutakuwa washiriki tu katika mashindano ya kimataifa kiukweli
Ushauri wangu mpira huu wa Tanzania utabadilishwa na mashabiki wa nchi hii kama tutaacha ushabiki na kuangalia masilahi ya soka letu kwani watawala wa mpira wameshindwa mbinu za soka kiukweli

nyie mikia mna matatizo!!!!!! kwa hiyo we unadhani hao wakiondoka, hawatasajili wengine??
 
Back
Top Bottom