Yanga watafanya vizuri kimataifa zaidi ya simba msimu ujao

Yanga watafanya vizuri kimataifa zaidi ya simba msimu ujao

Me nishasave tayari.. Ila Makolo wajue tu wao waenda kucheza Shirikishi maana maana makundi CAF hawawezi kuingia...Sie Wanaume tunaenda Hadi nusu Fainali CAF mwaka huu
 
Kweli ukiwa utopolo akili zinaruka kufanya vizuri caf champions league unahitaji experience ya mara kwa mara sio ya ingia toka kama mlivyo utopolo kufanya vizuri Caf champions league sio overnight success wala kuwa na usajili mzuri, mfano
Kuna team inaitwa PYRAMIDS ilikuja kucheza na azam nadhani ndio team iliyoongoza kwa usajili last season walimsajili yule ramadhan sobi kutoka al ahly alikuwa anacheza ulaya ila Caf champions league waliangukia pua na kocha wao wa makipa alikuwa dida ndio dida yule wa Brazil ila hawakufanikiwa.

Twende ulaya unaona wale Manchester city na PSG kule ulaya licha ya kufanya vizuri na kuchukua domestic league mara kadhaa ila likija suala la UEFA champions league wanaaangukia pua its all about consistency and experience that won when comes to champions league.

Simba na yanga zinasafari ndefu sana kufikia huko kwenye mafanikio hayo kinachotakiwa sasa hivi ni consistency na kupata experience ila hayo mengine tuendelee kujipa moyo tu we need serious investment hizo hela za udhamini wa simba na yanga team kama PYRAMIDS inanunua wachezaji tu tena top players huku sisi ndio tunashangiria ni mihela mingi kazi tunayo.
 
Tusubiri ratiba kutoka CAF kwanza.
IMG_20220802_161245_871.jpg
 
Hilo linajulikana kulingana na namna kikosi chao klivyokamilika kila idara kwa sasa, tiyali wamewabakiza wachezaji wao wote muhimu na wameongeza quality ya wachezaji wachache wanaokuja kuongeza ubora kwenye mapungufu ya msimu uliopita, ivyo haitokuwa timu ya masikhara masikhara kama miaka iliyopita nawaona wakitinga makundi na wakitinga robo fainali ya caf champions league wala sitoshangaa kwakuwa wanayo timu yenye uwezo wa kufanya ivyo kwa sasa, Zile habari za kwamba awafanyagi vizuri kimataifa zitabaki kuwa Kama historia kuanzia msimu huu
Kwa nini sio nusu fainali?
 
Najua jambo hili ni ngumu kidogo kuingia masikioni mwa mashabiki wa simba.

Maana wamekariri kuwa yanga kimataifa si lolote ni kama Mbeya kwanza tu wakiwa kimataifa ila ukweli ni kwamba Yanga itashangaza watu wengi.

Wakiona wanavyo toboa anga kuingia final ya CAF.

Na ushindi mwingi wa yanga utakuwa unapatikana ugenini.

Nyumbani watakuwa wanafanya vibaya ila wakifika ugenini ndo moto una waka kweli.

Naombeni wote hii post msave kwenye simu zetu mtarudi ku comment
SPIRIT YA USHINDI.. DAIMA MBELE
 
Wacha we!!!!

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ulozi wa simba mwaka huu

Ni KIFO tu

Lzm walale na viatu vyao
 
Tuoneshe komenti uliyosema kuwa Yanga itafanya vibaya dhidi ya rivers united ili tukuamini.
Vinginevyo hizo ni appetite tu za kutaka ushindi ambazo kila mtu anazo.
 
Najua jambo hili ni ngumu kidogo kuingia masikioni mwa mashabiki wa simba.

Maana wamekariri kuwa yanga kimataifa si lolote ni kama Mbeya kwanza tu wakiwa kimataifa ila ukweli ni kwamba Yanga itashangaza watu wengi.

Wakiona wanavyo toboa anga kuingia final ya CAF.

Na ushindi mwingi wa yanga utakuwa unapatikana ugenini.

Nyumbani watakuwa wanafanya vibaya ila wakifika ugenini ndo moto una waka kweli.

Naombeni wote hii post msave kwenye simu zetu mtarudi ku comment
Ulikuwa mbele ya muda
 
Wataelewa tu.. Hii ni mpaka Fainali Dadeq.. Sisi ndio Wananchi
 
Back
Top Bottom