Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini sio nusu fainali?Hilo linajulikana kulingana na namna kikosi chao klivyokamilika kila idara kwa sasa, tiyali wamewabakiza wachezaji wao wote muhimu na wameongeza quality ya wachezaji wachache wanaokuja kuongeza ubora kwenye mapungufu ya msimu uliopita, ivyo haitokuwa timu ya masikhara masikhara kama miaka iliyopita nawaona wakitinga makundi na wakitinga robo fainali ya caf champions league wala sitoshangaa kwakuwa wanayo timu yenye uwezo wa kufanya ivyo kwa sasa, Zile habari za kwamba awafanyagi vizuri kimataifa zitabaki kuwa Kama historia kuanzia msimu huu
Sasa nimeelewa mkuuWaungwana kumbukeni alieleta uzi sio Sunday Manara wala sio Kikwete.
SPIRIT YA USHINDI.. DAIMA MBELENajua jambo hili ni ngumu kidogo kuingia masikioni mwa mashabiki wa simba.
Maana wamekariri kuwa yanga kimataifa si lolote ni kama Mbeya kwanza tu wakiwa kimataifa ila ukweli ni kwamba Yanga itashangaza watu wengi.
Wakiona wanavyo toboa anga kuingia final ya CAF.
Na ushindi mwingi wa yanga utakuwa unapatikana ugenini.
Nyumbani watakuwa wanafanya vibaya ila wakifika ugenini ndo moto una waka kweli.
Naombeni wote hii post msave kwenye simu zetu mtarudi ku comment
Wacha we!!!!Najua jambo hili ni ngumu kidogo kuingia masikioni mwa mashabiki wa simba.
Maana wamekariri kuwa yanga kimataifa si lolote ni kama Mbeya kwanza tu wakiwa kimataifa ila ukweli ni kwamba Yanga itashangaza watu wengi.
Wakiona wanavyo toboa anga kuingia final ya CAF.
Na ushindi mwingi wa yanga utakuwa unapatikana ugenini.
Nyumbani watakuwa wanafanya vibaya ila wakifika ugenini ndo moto una waka kweli.
Naombeni wote hii post msave kwenye simu zetu mtarudi ku comment
Nimecheka Hadi KUKAA chini kaka.Waungwana kumbukeni alieleta uzi sio Sunday Manara wala sio Kikwete.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tusubiri ratiba kutoka CAF kwanza.View attachment 2312788
Ulikuwa mbele ya mudaNajua jambo hili ni ngumu kidogo kuingia masikioni mwa mashabiki wa simba.