Yanga watafika Fainali ya Klabu Bingwa Afrika mwaka huu

Yanga watafika Fainali ya Klabu Bingwa Afrika mwaka huu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kuna uwezekano wengi wenu wakashangazwa na uzi huu kutokana na maneno haya kuwa Yanga watafika Fainali ya Klabu Bingwa mwaka huu, lakini sitaki kuwa mchambuzi sana ila nataka mjue suala hili lipo kiroho sana, muda utaongea.

Mwaka jana niliwahi kusema hivi hivi nikatukanwa nikaitwa pumbavu na mjinga wengine utopolo ila mwisho wa mwaka wote mliona kilichotokea.

Next season tena naona watu watakavyokuwa wanasema kuwa timu zote kubwa akili zao zote walikuwa wameweka kwenye Africa Super Cup, ndio wakakutana na timu mbovu mbovu au timu kubwa ambazo zimechoka.
 
Kiroho unamaanisha nini?
 
NIMEAMINI KICHAA SI LAZIMA AOKOTE MAKOPO.

Amka Mzee.

Utachafua kitanda na Mi maavi.
 
Kuna uwezekano wengi wenu wakashangazwa na uzi huu kutokana na maneno haya kuwa yanga watafika final ya club bingwa mwaka huu

Lakini Sitaki kuwa mchambuzi saana
Ila nataka mjue
Swala ili lipo kiroho saana mda utaongea

Mwaka jana niliwahi kusema hivi hivi nikatukanwa nikaitwa pumbavu na mjinga wengine utopolo

Ila mwisho wa mwaka wote mliona kilicho tokea
Next season tena naona watu watakavyo kuwa wanasema kuwa timu zote kubwa akili zao zote walikuwa wameweka kwenye afrika super cup ndo wakakutana na timu mbovu mbovu au timu kubwa ambazo zimechoka
Mwaka Jana ulisema hayo ...halafu YANGA ikatolewa Round ya Kwanza! Hili jina Utopolo mlijipatia kweli!
 
Naona yanga wameshidwa kuwabakisha wachezaji wake Muhimu mno ndani ya misimu miwili.

Morinho anasema usajili Bora ni kubakisha wachezaji Muhimu kikosini.

1. SAID NTIBAZONKINZA
2. FEISAL SALUM.
3. FISTON MAYELE.
4. JUMA SHABAN.
5. JOYCE LOMALISA.
6. YANIC BANGALA.
7. BENARD MORISON.

Wamepoteza Benchi lote la UFUNDI.
Hata makundi hawafiki.
 
Kuna uwezekano wengi wenu wakashangazwa na uzi huu kutokana na maneno haya kuwa yanga watafika final ya club bingwa mwaka huu

Lakini Sitaki kuwa mchambuzi saana
Ila nataka mjue
Swala ili lipo kiroho saana mda utaongea

Mwaka jana niliwahi kusema hivi hivi nikatukanwa nikaitwa pumbavu na mjinga wengine utopolo

Ila mwisho wa mwaka wote mliona kilicho tokea
Next season tena naona watu watakavyo kuwa wanasema kuwa timu zote kubwa akili zao zote walikuwa wameweka kwenye afrika super cup ndo wakakutana na timu mbovu mbovu au timu kubwa ambazo zimechoka
Wakithubutu tu Kufika nakuahidi nitakunya mubashara Miji mikubwa yote ya nchini Tanzania tena Mchana kweupe nikianzia na hapa nilipo Kwetu Pemba Kisiwani.
 
Wakithubutu tu Kufika nakuahidi nitakunya mubashara Miji mikubwa yote ya nchini Tanzania tena Mchana kweupe nikianzia na hapa nilipo Kwetu Pemba Kisiwani.
Ukianza huko kwenu Pemba...sijui kamautafika mbali..Wapemba hawatakuacha salama ukivua nguo mchana kweupe mubashara,lazima wakutatue!
 
Back
Top Bottom