kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kuna uwezekano wengi wenu wakashangazwa na uzi huu kutokana na maneno haya kuwa Yanga watafika Fainali ya Klabu Bingwa mwaka huu, lakini sitaki kuwa mchambuzi sana ila nataka mjue suala hili lipo kiroho sana, muda utaongea.
Mwaka jana niliwahi kusema hivi hivi nikatukanwa nikaitwa pumbavu na mjinga wengine utopolo ila mwisho wa mwaka wote mliona kilichotokea.
Next season tena naona watu watakavyokuwa wanasema kuwa timu zote kubwa akili zao zote walikuwa wameweka kwenye Africa Super Cup, ndio wakakutana na timu mbovu mbovu au timu kubwa ambazo zimechoka.