Yanga watangaza jezi mpya za Kimataifa 2024/25

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728

Leo saa 6 mchana timu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara Yanga SC itazindua jezi zake leo 20/11/2024 karibu katoka Uzi huu kupata update za champions league kits

Young Africans SC
𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 πŸπŸŽπŸπŸ’/πŸπŸ“ - π‡πŽπŒπ„ πŠπˆπ“πŸ”°

Young Africans SC
𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 πŸπŸŽπŸπŸ’/πŸπŸ“ - π€π–π€π˜ πŠπˆπ“πŸ”°

Young Africans SC
𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 πŸπŸŽπŸπŸ’/πŸπŸ“ - π“π‡πˆπ‘πƒ πŠπˆπ“πŸ”°
 
Jezi za Ubingwa wa CAF champion league ziko tayari.

Kazi imeanza rasmi, Sasa ndio tuna Anza Ligi achana na hii ya NBC ambayo kwa vikombe vya apa nyumbani tupo kwenye Daraja letu la kipekee wengine Wana Fanya Challenge tu.
 
EView attachment 3156669
Leo saa 6 mchana timu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara Yanga SC itazindua jezi zake leo 20/11/2024 karibu katoka Uzi huu kupata update za champions league kits
Lolote liwakut
View attachment 3156669
Leo saa 6 mchana timu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara Yanga SC itazindua jezi zake leo 20/11/2024 karibu katoka Uzi huu kupata update za champions league kits
umempeleka wapi @ephen
 
Jezi kama chujio....naongelea za ligi...ngoja tuone hizi za championiπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…