Yanga watangaza jezi mpya za Kimataifa 2024/25

Timu mbovu.

Jezi mbovu.

Mashabiki wabovu.

Kipunyunyu fc wameona mijezi mibovu wanaogopa kuitambulisha baada ya kuona wanaume wametoa jezi zenye quality ya dunia.
 
View attachment 3156669
Leo saa 6 mchana timu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara Yanga SC itazindua jezi zake leo 20/11/2024 karibu katoka Uzi huu kupata update za champions league kits
Wengine wamewahi harakaharaka watazindua saa 4 asubuhi leo. Hahahaha. Nafikiri ni kukosa ubunifu au nini sijui? Tangu enzi za KIBEGI hawataki tena yajirudie
 
Uzi wa NJANO πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯bado dakika chache
 
Young Africans SC
𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 πŸπŸŽπŸπŸ’/πŸπŸ“ - π‡πŽπŒπ„ πŠπˆπ“πŸ”°
 
Young Africans SC
𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 πŸπŸŽπŸπŸ’/πŸπŸ“ - π“π‡πˆπ‘πƒ πŠπˆπ“πŸ”°
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…