CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Nimemuona Baka Analia anaonyesha 4-0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uandishi huo unaonekana wewe ni mganga. Yanga lazima warudi na kombeJumapili baada ya yanga kupoteza nilihapa kuwa Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria
Baadhi ya mashabiki wa Simba walinicheka Na kunisema nimelewa wengine nimevuta bangi.
Leo Tena narudia Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria.
Nipo tayari kubeti Na mtu yeyote.
Na Tena yeye atowe 0 Mimi nitowe Laki Moja.
Maneno yangu yasipo timia anachukuwa pesa hizo.
Yanga akirudi na ubingwa sitakuwa na time ya kuchukuwa pesa zake Bali nitataka kumuonyesha kuwa nilicho kisema nilikuwa na uhakika nacho
hapana,kuna MO FOUNDATION...Nyuma si kuna mwiko au?
Kutufunga wametufunga na dada zetu wakapita naoView attachment 2642165
Labda kombe hili
kesho kanji atapita na mikeka ya wengiKwenye kubet mpira kuna mambo manne yanayomuongoza mtu. Kuna uhalisia, uhakika , uwezekano na matamanio. Wewe upo kwenye kundi la MATAMANIO.
Sasa kiuhalisia yanga hashindi hilo kombe, kiuwezekano yanga anauwezekano finyu mno kurudi na kombe, kiuhakika hakuna uhakika wa yanga kufunga goli hata moja huko algeria na kimatamanio hilo linajazwa na utashi wako mbovu.
Jumapili baada ya yanga kupoteza nilihapa kuwa Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria
Baadhi ya mashabiki wa Simba walinicheka Na kunisema nimelewa wengine nimevuta bangi.
Leo Tena narudia Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria.
Nipo tayari kubeti Na mtu yeyote.
Na Tena yeye atowe 0 Mimi nitowe Laki Moja.
Maneno yangu yasipo timia anachukuwa pesa hizo.
Yanga akirudi na ubingwa sitakuwa na time ya kuchukuwa pesa zake Bali nitataka kumuonyesha kuwa nilicho kisema nilikuwa na uhakika nacho
Haya tubetJumapili baada ya yanga kupoteza nilihapa kuwa Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria
Baadhi ya mashabiki wa Simba walinicheka Na kunisema nimelewa wengine nimevuta bangi.
Leo Tena narudia Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria.
Nipo tayari kubeti Na mtu yeyote.
Na Tena yeye atowe 0 Mimi nitowe Laki Moja.
Maneno yangu yasipo timia anachukuwa pesa hizo.
Yanga akirudi na ubingwa sitakuwa na time ya kuchukuwa pesa zake Bali nitataka kumuonyesha kuwa nilicho kisema nilikuwa na uhakika nacho
Kesho wanacheza sangapi babu?Hapo umeongea kama Mshabiki wa Yanga, ila ungeweza kuongea kama mtu wa Soka usingesema hayo.
Fikiria unacheza na Timu iliyopo nyumbani, alafu ikiwa na advantage ya kuongoza bao 2
Timu ambayo ina hasira za kupuliziwa dawa vyumbani mwao nk.
Tusema ukweli Mkuu, kushinda huko labda iwe njaa lakini sio Ubingwa
Nimeona mahali watacheza leo majira ya saa 4 usiku kwa Masaa za Afrika Mashariki.
😂😆😄😁😅👀👀😂😆😄😁😅Amka kumekucha usije ukajikojolea ndgu maandazi
UmepatiaJumapili baada ya yanga kupoteza nilihapa kuwa Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria