Yanga watarudi na ubingwa Algeria

Yanga watarudi na ubingwa Algeria

Jumapili baada ya yanga kupoteza nilihapa kuwa Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria

Baadhi ya mashabiki wa Simba walinicheka Na kunisema nimelewa wengine nimevuta bangi.

Leo Tena narudia Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria.

Nipo tayari kubeti Na mtu yeyote.

Na Tena yeye atowe 0 Mimi nitowe Laki Moja.

Maneno yangu yasipo timia anachukuwa pesa hizo.

Yanga akirudi na ubingwa sitakuwa na time ya kuchukuwa pesa zake Bali nitataka kumuonyesha kuwa nilicho kisema nilikuwa na uhakika nacho
Kwa uandishi huo unaonekana wewe ni mganga. Yanga lazima warudi na kombe
 
Yaani Ibrahim Benzaza aukoroge ule mwiko kule nyuma yenu, mnuke kinyesi, halafu bado mshinde na kurejea na kombe? Hii ni sawa na kumlazimisha sisimizi ameze pera.
 
Kwenye kubet mpira kuna mambo manne yanayomuongoza mtu. Kuna uhalisia, uhakika , uwezekano na matamanio. Wewe upo kwenye kundi la MATAMANIO.

Sasa kiuhalisia yanga hashindi hilo kombe, kiuwezekano yanga anauwezekano finyu mno kurudi na kombe, kiuhakika hakuna uhakika wa yanga kufunga goli hata moja huko algeria na kimatamanio hilo linajazwa na utashi wako mbovu.
kesho kanji atapita na mikeka ya wengi
 
Jumapili baada ya yanga kupoteza nilihapa kuwa Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria

Baadhi ya mashabiki wa Simba walinicheka Na kunisema nimelewa wengine nimevuta bangi.

Leo Tena narudia Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria.

Nipo tayari kubeti Na mtu yeyote.

Na Tena yeye atowe 0 Mimi nitowe Laki Moja.

Maneno yangu yasipo timia anachukuwa pesa hizo.

Yanga akirudi na ubingwa sitakuwa na time ya kuchukuwa pesa zake Bali nitataka kumuonyesha kuwa nilicho kisema nilikuwa na uhakika nacho

Naomba tubet chapu hiyo laki sasa nipo apa mimi am ready
 
Jumapili baada ya yanga kupoteza nilihapa kuwa Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria

Baadhi ya mashabiki wa Simba walinicheka Na kunisema nimelewa wengine nimevuta bangi.

Leo Tena narudia Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria.

Nipo tayari kubeti Na mtu yeyote.

Na Tena yeye atowe 0 Mimi nitowe Laki Moja.

Maneno yangu yasipo timia anachukuwa pesa hizo.

Yanga akirudi na ubingwa sitakuwa na time ya kuchukuwa pesa zake Bali nitataka kumuonyesha kuwa nilicho kisema nilikuwa na uhakika nacho
Haya tubet

Kombe hamchukui ng'oo

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Hapo umeongea kama Mshabiki wa Yanga, ila ungeweza kuongea kama mtu wa Soka usingesema hayo.

Fikiria unacheza na Timu iliyopo nyumbani, alafu ikiwa na advantage ya kuongoza bao 2

Timu ambayo ina hasira za kupuliziwa dawa vyumbani mwao nk.

Tusema ukweli Mkuu, kushinda huko labda iwe njaa lakini sio Ubingwa
Kesho wanacheza sangapi babu?

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.

NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
 
Ulimtukana mpaka mama yako kisa tu mpira na kutafuta umaarufu kwenye mitandao,haya kiko wapi ulisema mnashinda,acha hizo katubu kama unamjua Mungu.
 
[emoji196][emoji196][emoji196]
images.jpg
 
Mtoa mada unajielewa kweli? Hiyo laki unayo? Nakuonea huruma sana.. kuna wenzio akil kisoda waliweka bondi Mke.. na watu tukabebelea
 
Jumapili baada ya yanga kupoteza nilihapa kuwa Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria

Baadhi ya mashabiki wa Simba walinicheka Na kunisema nimelewa wengine nimevuta bangi.

Leo Tena narudia Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria.

Nipo tayari kubeti Na mtu yeyote.

Na Tena yeye atowe 0 Mimi nitowe Laki Moja.

Maneno yangu yasipo timia anachukuwa pesa hizo.

Yanga akirudi na ubingwa sitakuwa na time ya kuchukuwa pesa zake Bali nitataka kumuonyesha kuwa nilicho kisema nilikuwa na uhakika nacho
Umepatia
 
Back
Top Bottom