Yanga watarudi na ubingwa Algeria

Kwa uandishi huo unaonekana wewe ni mganga. Yanga lazima warudi na kombe
 
Yaani Ibrahim Benzaza aukoroge ule mwiko kule nyuma yenu, mnuke kinyesi, halafu bado mshinde na kurejea na kombe? Hii ni sawa na kumlazimisha sisimizi ameze pera.
 
kesho kanji atapita na mikeka ya wengi
 

Naomba tubet chapu hiyo laki sasa nipo apa mimi am ready
 
Haya tubet

Kombe hamchukui ng'oo

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Kesho wanacheza sangapi babu?

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.


NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
 
Ulimtukana mpaka mama yako kisa tu mpira na kutafuta umaarufu kwenye mitandao,haya kiko wapi ulisema mnashinda,acha hizo katubu kama unamjua Mungu.
 
Mtoa mada unajielewa kweli? Hiyo laki unayo? Nakuonea huruma sana.. kuna wenzio akil kisoda waliweka bondi Mke.. na watu tukabebelea
 
Umepatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…