Yanga watumia GPS vest

Nadhani hizo vest zitakuwa zinafunga magoli zenyewe maana tumechoshwa na molinga a.k.a umaga kujidodosha dondosha na kucheza kwa uzito mkuu na huyu yikipe anayekosakosa magoli bila sababu. Hongera GSM kwa kusajili forward mpya aitwaye GPS VEST nadhani huyu atakuwa na uhakika angalau wa 90% apatapo mpira wa mwisho
 
Acha uzuzu,million 24 kwa mmoja?
Online inauzwa $40 hadi $150.

Hata ya timu nzima haifiki hiyo bei, au mmepigwa .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah!! Mbona ipo moja tu au wanapokezana?
 
Umekuja mjini lini? Yusuf Manji alitaka kununua nyumba 50 kwa bilioni moja kila moja ..maeneo ya Jangwani ajenge Jangwani city ..manispaa ya Ilala ikamnyima kibali cha kujenga ...hujuma zimeanza zamani..nenda ukagoogle Jangwani city....wewe sio Yanga

Kwa gahawa mko vizuri.
 
Hivi neno GPS unajua maana yake?
 
Hivi neno GPS unajua maana yake?
Hivi neno GPS unajua maana yake?
The smart vest is a GPS powered fitness tracker designed by wearable tech giants Catapult Sports. The kit measures distance covered, top speed, sprint distance and total number of sprints and then compares your data to pro players.Mambo yako ya kifala peleka darasani
 
[emoji23][emoji23] mkuu unapoteza mda wako kuelewesha mbumbumbu ...hawa watu hawataki kujifunza vitu vidogovidogo kama hivi...kweli Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
, PLAYERTEK brings innovative, performance analytics designed and tailored to sub-elite sports teams and amateur athletes..wewe unaongelea Playertek hizo za masikini kama mikia ..angalia hiyo picha juu hapo

Brother usidanganye jf ,hao catapult ndio watengenezaji wa hizi vest

Ebu soma vizuri wana kata timu dolla laki moja ambayo ni sawa na zaidi ya million 23 kwa ajili ya service na huduma zingine..na sio moja
 
Kwamba Yanga inashindwa kujenga uwanja hata wa mazoezi sababu ya hujuma, kawadanganye watoto wa chekechea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…