Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] JF kuna raha kuliko bar.
Amkeni amkeni..hatimaye Yanga wameanza kutumia GPS vest na kuwa klabu ya kwanza nchini na ukanda wote wa kusini mwa Jangwa la Sahara kuwahi kuzitumia..
GPS vest moja inagharimu milioni 24...habari mbaya sana kwa mikia maana hawana uhalali tena wa kusema Yanga ni masikini...Mara ya kwanza kuziona hapa Tanzania ni pale Pyramids ya Misri walipokuja kucheza na Yanga kule Mwanza..
Manufaa ya GPS vest inampima mchezaji kama yuko fit kiasi gani katika mikimbio yake..kwaherini wa mchangani hizi ni levels za Etoile du sahel..na Mr Pinto anakuja kuifanya Yanga iwe mbali sana kule mawinguni...
Hongera chapa GSM hakuna janjajanjaView attachment 1356990
Umekuja mjini lini? Yusuf Manji alitaka kununua nyumba 50 kwa bilioni moja kila moja ..maeneo ya Jangwani ajenge Jangwani city ..manispaa ya Ilala ikamnyima kibali cha kujenga ...hujuma zimeanza zamani..nenda ukagoogle Jangwani city....wewe sio Yanga
Ah!! Mbona ipo moja tu au wanapokezana?
Hivi neno GPS unajua maana yake?Amkeni amkeni..hatimaye Yanga wameanza kutumia GPS vest na kuwa klabu ya kwanza nchini na ukanda wote wa kusini mwa Jangwa la Sahara kuwahi kuzitumia..
GPS vest moja inagharimu milioni 24...habari mbaya sana kwa mikia maana hawana uhalali tena wa kusema Yanga ni masikini...Mara ya kwanza kuziona hapa Tanzania ni pale Pyramids ya Misri walipokuja kucheza na Yanga kule Mwanza..
Manufaa ya GPS vest inampima mchezaji kama yuko fit kiasi gani katika mikimbio yake..kwaherini wa mchangani hizi ni levels za Etoile du sahel..na Mr Pinto anakuja kuifanya Yanga iwe mbali sana kule mawinguni...
Hongera chapa GSM hakuna janjajanjaView attachment 1356990
Hivi neno GPS unajua maana yake?
The smart vest is a GPS powered fitness tracker designed by wearable tech giants Catapult Sports. The kit measures distance covered, top speed, sprint distance and total number of sprints and then compares your data to pro players.Mambo yako ya kifala peleka darasaniHivi neno GPS unajua maana yake?
Nenda manispaa ya Ilala kawaulize kwa nini hawakutoa kibali cha ujenzi
Ngumu kumesa kwa Mbeleko FC kama wewePale Vyura au mbutembute fc wanapojaribu kuukataa ukweli kuwa wao ni mafukara.
mkuu unapoteza mda wako kuelewesha mbumbumbu ...hawa watu hawataki kujifunza vitu vidogovidogo kama hivi...kweli Rage hakukosea kuwaita mbumbumbuThe smart vest is a GPS powered fitness tracker designed by wearable tech giants Catapult Sports. The kit measures distance covered, top speed, sprint distance and total number of sprints and then compares your data to pro players.Mambo yako ya kifala peleka darasani
, PLAYERTEK brings innovative, performance analytics designed and tailored to sub-elite sports teams and amateur athletes..wewe unaongelea Playertek hizo za masikini kama mikia ..angalia hiyo picha juu hapo
[emoji23][emoji23][emoji23] JF kuna raha kuliko bar.
Kwamba Yanga inashindwa kujenga uwanja hata wa mazoezi sababu ya hujuma, kawadanganye watoto wa chekechea.Umekuja mjini lini? Yusuf Manji alitaka kununua nyumba 50 kwa bilioni moja kila moja ..maeneo ya Jangwani ajenge Jangwani city ..manispaa ya Ilala ikamnyima kibali cha kujenga ...hujuma zimeanza zamani..nenda ukagoogle Jangwani city....wewe sio Yanga