kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Acha uzuzu,million 24 kwa mmoja?
Online inauzwa $40 hadi $150.
Hata ya timu nzima haifiki hiyo bei, au mmepigwa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuja mjini lini? Yusuf Manji alitaka kununua nyumba 50 kwa bilioni moja kila moja ..maeneo ya Jangwani ajenge Jangwani city ..manispaa ya Ilala ikamnyima kibali cha kujenga ...hujuma zimeanza zamani..nenda ukagoogle Jangwani city....wewe sio Yanga
, PLAYERTEK brings innovative, performance analytics designed and tailored to sub-elite sports teams and amateur athletes...wewe mjinga unaongelea Playertek angalia vizuri wachezaji wa Yanga wamevaa nini..Bangladesh wewe
Kwamba Yanga inashindwa kujenga uwanja hata wa mazoezi sababu ya hujuma, kawadanganye watoto wa chekechea.
Amkeni amkeni..hatimaye Yanga wameanza kutumia GPS vest na kuwa klabu ya kwanza nchini na ukanda wote wa kusini mwa Jangwa la Sahara kuwahi kuzitumia..
GPS vest moja inagharimu milioni 24...habari mbaya sana kwa mikia maana hawana uhalali tena wa kusema Yanga ni masikini...Mara ya kwanza kuziona hapa Tanzania ni pale Pyramids ya Misri walipokuja kucheza na Yanga kule Mwanza..
Manufaa ya GPS vest inampima mchezaji kama yuko fit kiasi gani katika mikimbio yake..kwaherini wa mchangani hizi ni levels za Etoile du sahel..na Mr Pinto anakuja kuifanya Yanga iwe mbali sana kule mawinguni...
Hongera chapa GSM hakuna janjajanjaView attachment 1356990
Dollar laki moja sio 23m mkuu,, ni million Mia mbili na kitu so mleta mada aje aseme hapa hicho kisidiria kina cost pesa yote hiyo ama vipiBrother usidanganye jf ,hao catapult ndio watengenezaji wa hizi vest
View attachment 1358165
Ebu soma vizuri wana kata timu dolla laki moja ambayo ni sawa na zaidi ya million 23 kwa ajili ya service na huduma zingine..na sio moja