Yanga watumia GPS vest

Yanga watumia GPS vest

Duh!Hao ni marefa tu,hawaipendi Yanga.
Kwa kweli yanga tunaonewa sana uwanjani na nje ya uwanja.

Naamini Simba alihonga wanaotoa kibali.Waache kuhonga waone kama hatutajenga kiwanja cha kisasa hadi washangae
Umekuja mjini lini? Yusuf Manji alitaka kununua nyumba 50 kwa bilioni moja kila moja ..maeneo ya Jangwani ajenge Jangwani city ..manispaa ya Ilala ikamnyima kibali cha kujenga ...hujuma zimeanza zamani..nenda ukagoogle Jangwani city....wewe sio Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga ilishaanza mchakato wa ujenzi wa uwanja wa mazoezi pale kaunda,manispaa imewanyima kibali ikiwaambia wasubiri kwani serikalini inaandaa plan ya ujenzi wa sehemu yote ya jangwani
Kwamba Yanga inashindwa kujenga uwanja hata wa mazoezi sababu ya hujuma, kawadanganye watoto wa chekechea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amkeni amkeni..hatimaye Yanga wameanza kutumia GPS vest na kuwa klabu ya kwanza nchini na ukanda wote wa kusini mwa Jangwa la Sahara kuwahi kuzitumia..

GPS vest moja inagharimu milioni 24...habari mbaya sana kwa mikia maana hawana uhalali tena wa kusema Yanga ni masikini...Mara ya kwanza kuziona hapa Tanzania ni pale Pyramids ya Misri walipokuja kucheza na Yanga kule Mwanza..

Manufaa ya GPS vest inampima mchezaji kama yuko fit kiasi gani katika mikimbio yake..kwaherini wa mchangani hizi ni levels za Etoile du sahel..na Mr Pinto anakuja kuifanya Yanga iwe mbali sana kule mawinguni...

Hongera chapa GSM hakuna janjajanjaView attachment 1356990

Hiyo GPS Vest huwa inafunga Magoli mangapi Uwanjani kila mara Yanga SC ikicheza Mechi zake za Ligi Kuu ya Tanzania?
 
Brother usidanganye jf ,hao catapult ndio watengenezaji wa hizi vest
View attachment 1358165
Ebu soma vizuri wana kata timu dolla laki moja ambayo ni sawa na zaidi ya million 23 kwa ajili ya service na huduma zingine..na sio moja
Dollar laki moja sio 23m mkuu,, ni million Mia mbili na kitu so mleta mada aje aseme hapa hicho kisidiria kina cost pesa yote hiyo ama vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom