Yanga wavunja mkataba na Hans Van Pluijm kwasababu ya ukata

Yanga wavunja mkataba na Hans Van Pluijm kwasababu ya ukata

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Klabu ya Yanga imesitisha mkataba na Hans Van Pluijm kutokana na ukata wa fedha hivyo kuona hawataweza kuendelea kumlipa.
 
Ndio wakati sasa kwa wale waliokuwa wanampinga Manji kuendesha Klabu ya Yanga
 
Yanga jipangeni tunaweza kuendesha club kwa mapato ya milangoni na kuunza uniform za wachezaji.
 
Back
Top Bottom