Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,621 Reaction score 8,411 Mar 3, 2017 #1 Klabu ya Yanga imesitisha mkataba na Hans Van Pluijm kutokana na ukata wa fedha hivyo kuona hawataweza kuendelea kumlipa.
Klabu ya Yanga imesitisha mkataba na Hans Van Pluijm kutokana na ukata wa fedha hivyo kuona hawataweza kuendelea kumlipa.
jerrytz JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5,975 Reaction score 4,266 Mar 3, 2017 #2 Ndio wakati sasa kwa wale waliokuwa wanampinga Manji kuendesha Klabu ya Yanga
J Julius Kerenge Member Joined Mar 7, 2015 Posts 81 Reaction score 34 Mar 3, 2017 #3 Yanga jipangeni tunaweza kuendesha club kwa mapato ya milangoni na kuunza uniform za wachezaji.