ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Barua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201
Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000. Ambazo zimeainishwa kwenye kipengele namba 17 kwenye barua yenye vipengele 19
Katika kipengele namba 18 wamesisitiza kuwa hawako tayari kuicheza mechi namba 184 katika msimu huu. Na kwamba mechi ilihairishwa Kwa makosa ya maksudi ya Simba Kwa hiyo wanastahili alama 3
Mwisho Yanga wanasisitiza kama madai Yao ya kupewa alama 3 na magoli 3 pamoja na fidia ya maandalizi ya mchezo.
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Na kama madai hayo hayatazingatiwa, Yanga hawatasita kulipeleka suala hii katika mamlaka ya juu zai
Barua hii imewasirishwa tarehe 10 March, 2025
Imeandikwa na Andre Mtine
Mtendaji mkuu Young Africans sc