Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

Hiki kinachofanywa na Yanga sasa kwa maoni ya mashabiki wa SImba wanaona ni ujinga. Ila ule uhuni waliofanyawao wanaona ni sahihi.
Hiki mnachotaka kuhalalisha wakifanya wengine mnaona ni uhuni.
Naamini kuwa shabiki wa SImba ni kipaji aisee.
Yanga ipewe haki yake Bodi ya Ligi wamevurunda wenyewe sasa maji wameyavulia nguo wayaoge nani aliwatuma wahairishe mechi wanawaingiza watu hasara hapo bado Azam hajaandika barua kuomba fidia ya hasara aliyoingia siku hio ya mechi kadanganywa kwamba mechi asubuhi mchana linatoka barua mechi hakuna sasa walipe gharama hizo
 
Leoo nimecheka sanaa kaulizwa mouuzi MMOJA WA BODI magutti sijui

YANGA wamesema hawatachezana wanataka pt tatu na WATAENDA popote kuzidai

Akadai anaomba YANGA wawe wapole hatujatoaanmamuzi ya mwishoo

Wakaulizwa mbona kwenye BARUA YENU mmeshandika mtataja tar ya mechi kurudiwa nnejuaje itahitajika kurudiwa alivyo fala akakata simu
 
Hii klabu mbona inatapatapa hivi? Barua kila kukicha utadhani hawana kazi nyingine za kufanya.

Mpaka mseme wale wahuni waliokaa pale getini walitumwa na nani.
Ukae kwa kutulia wewe ukae kwaa kutulia kabisa wale Mbuzi na Kuku mlikua mnawapeleka kufanya nini uwanjani na vizee vyenu vyenye macho mekundu?
 
Upo chooni unakunya nini? Uamuzi haujatolewa kuahirisha mechi sio uamuzi?
Na sio hioo tu

Mwisho wameandika tutawatajia tar ya mechi kurudiwa wamejuaje mechi unatakiwa kurudiwa mbwa wale washenzi
 
Barua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201
Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000. Ambazo zimeainishwa kwenye kipengele namba 17 kwenye barua yenye vipengele 19

Katika kipengele namba 18 wamesisitiza kuwa hawako tayari kuicheza mechi namba 184 katika msimu huu. Na kwamba mechi ilihairishwa Kwa makosa ya maksudi ya Simba Kwa hiyo wanastahili alama 3

Mwisho Yanga wanasisitiza kama madai Yao ya kupewa alama 3 na magoli 3 pamoja na fidia ya maandalizi ya mchezo.

Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Na kama madai hayo hayatazingatiwa, Yanga hawatasita kulipeleka suala hii katika mamlaka ya juu zai

Barua hii imewasirishwa tarehe 10 March, 2025

Imeandikwa na Andre Mtine
Mtendaji mkuu Young Africans sc
Naomba kuuliza hiyo mamlaka ya juu zaidi kama hayo hayatatekelezwa ni ipi hiyo?!
 
Hii klabu mbona inatapatapa hivi? Barua kila kukicha utadhani hawana kazi nyingine za kufanya.

Mpaka mseme wale wahuni waliokaa pale getini walitumwa na nani.
Wahuni walitoka Simba
 
Akadai anaomba YANGA wawe wapole hatujatoaanmamuzi ya mwishoo

Wakaulizwa mbona kwenye BARUA YENU mmeshandika mtataja tar ya mechi kurudiwa nnejuaje itahitajika kurudiwa alivyo fala akakata simu
Hahaha nimecheka kishenzi kakata simu?
 
Kila hatua inaonesha jinsi walivyo wajinga
Sio inaonesha Bali jua ya kwamba siku zote timu hii imekua na wajinga wengi kuanzia uongozi Hadi huku kwa mashabiki, na zaidi viongozi Wana kiburi, ujeuri, dharau kwa mamlaka za mpira ikiwemo tff na bodi ya ligi..sasa nawaambia Hawa wajinga na ubabe wao na kiburi , kitakachotokea ni hiki, kwenye hizi futari futari za kitaifa ambazo watu wa serikali wanakuepo kuanzia rais au waziri wakuu ama naibu wake ama makamu wa rais, mmoja wao atasema au atamwambia mzee wangu Karia kua naitaji kua mgeni rasmi katika mechi ya Derby , ghafla tarehe itapangwa na mgeni rasmi (mtu mkubwa) anasema atakuepo, Sasa wewe unayesema huleti timu mara hutacheza basi tuone usilete timu
 
Hahaha nimecheka kishenzi kakata simu?
Fastaa mpwaaaa mbwa yuleee unajua wakati WANAANDIKA walikuwa na mhemukoo hawakujia walichoandika na wengine wenye akili watazisoma

Kirahisi tu kambiwa uamuzi gani

Wakati mmeandika mtatutajia Tar ya kurudiwa umejuaje unatakiwa kurudiwa

Baluuuuuuuu naamini hatopokea Tena simu za waandishi
 
Hii klabu mbona inatapatapa hivi? Barua kila kukicha utadhani hawana kazi nyingine za kufanya.

Mpaka mseme wale wahuni waliokaa pale getini walitumwa na nani.
Wale watu wenu wenyewe msisingizie Yanga. Nyie jamaa mnakera sana na uhuni wenu mnatuharibia mpira.
 
Ubabe ujeuri dharau kiburi havitaisaidia hii timu. Huyo anayeiendesha hii timu kwa nyuma ambaye hatumuoni ndio ataizamisha hii timu au atasabisha Tanzania tufungiwe kabisa.
Kufungiwa au kutofungiwa kuko mikononi mwa Bodi.
 
Back
Top Bottom