Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

Ubabe ujeuri dharau kiburi havitaisaidia hii timu. Huyo anayeiendesha hii timu kwa nyuma ambaye hatumuoni ndio ataizamisha hii timu au atasabisha Tanzania tufungiwe kabisa.
Bora tufungiwe maana ajisemee jamaa yangu shirikisho la mpira linaendeshwa na mtu hajawah kucheza hata cha ndimu hana alijualo zaid ya kuvaa koti lake kama mganga wa kienyej
 
Barua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201
Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000. Ambazo zimeainishwa kwenye kipengele namba 17 kwenye barua yenye vipengele 19

Katika kipengele namba 18 wamesisitiza kuwa hawako tayari kuicheza mechi namba 184 katika msimu huu. Na kwamba mechi ilihairishwa Kwa makosa ya maksudi ya Simba Kwa hiyo wanastahili alama 3

Mwisho Yanga wanasisitiza kama madai Yao ya kupewa alama 3 na magoli 3 pamoja na fidia ya maandalizi ya mchezo.

Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Na kama madai hayo hayatazingatiwa, Yanga hawatasita kulipeleka suala hii katika mamlaka ya juu zai

Barua hii imewasirishwa tarehe 10 March, 2025

Imeandikwa na Andre Mtine
Mtendaji mkuu Young Africans sc
Ni jambo zuri kudai haki yao ya msingi. Haiwezekani watu wachache tu kwa utashi wao, wawasababishie hasara watu wengine kirahisi tu.
 
Nanukuu

“” Kwasababu Bodi ya Ligi ilipokea taarifa ya usalama kutoka kwa ofisa usalama wa mchezo ambayo imeainisha matukio kadhaa yaliyo ambatana na tukio la club ya Simba kishindwa kufanya mazoezi na kwamba baadhi ya matukio yanahitaji uchunguzi ambao hauwezi kukamilika kwa wakati,Bodi ya Ligi kupitia Kamati yake ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi imeamua kuahirisha mchezo tajwa hapo juu””

Mwisho wa kunukuu.

Hapo point Unapata wapi za mezani
 
Walikuwa wnaa test mkuu
YANGA tutaifwata hizo pt tatu hadi cas
CAS watasema ili msikilizwe, lazima kwanza muwalipe wachezaji na makocha wote waliowashtaki FIFA, akina Okrah, Konkon, Bigirimana, Baleke na Luc Eymael mzee wa mbwa na nyani
 
Utaenda cas kudai point za mchezo ambao haupo?
Kweli utopolo wenye akili ni 2,huyo mwanasheria wenu ndo hovyo kabisa.
Ndo mtavuana nguo na bodi ya ligi
Mseme mliwahonga bei gani hadi mtangaze uhuni Kwa uma
 
Yanga ipewe haki yake Bodi ya Ligi wamevurunda wenyewe sasa maji wameyavulia nguo wayaoge nani aliwatuma wahairishe mechi wanawaingiza watu hasara hapo bado Azam hajaandika barua kuomba fidia ya hasara aliyoingia siku hio ya mechi kadanganywa kwamba mechi asubuhi mchana linatoka barua mechi hakuna sasa walipe gharama hizo
Na still azam walizuiwa kuingia uwanja wa taifa hafi mabaunsa wao siku ya mechi hadi muda wa jion kabisa
 
CAS watasema ili msikilizwe, lazima kwanza muwalipe wachezaji na makocha wote waliowashtaki FIFA, akina Okrah, Konkon, Bigirimana, Baleke na Luc Eymael mzee wa mbwa na nyani
CAF yenyewe imeshitakiwa na Samuel Eto na Coach Amrouch aliyekuwepo Taifa stars na CAF wameshindwa
 
Barua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201
Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000. Ambazo zimeainishwa kwenye kipengele namba 17 kwenye barua yenye vipengele 19

Katika kipengele namba 18 wamesisitiza kuwa hawako tayari kuicheza mechi namba 184 katika msimu huu. Na kwamba mechi ilihairishwa Kwa makosa ya maksudi ya Simba Kwa hiyo wanastahili alama 3

Mwisho Yanga wanasisitiza kama madai Yao ya kupewa alama 3 na magoli 3 pamoja na fidia ya maandalizi ya mchezo.

Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Na kama madai hayo hayatazingatiwa, Yanga hawatasita kulipeleka suala hii katika mamlaka ya juu zai

Barua hii imewasirishwa tarehe 10 March, 2025

Imeandikwa na Andre Mtine
Mtendaji mkuu Young Africans sc
Hivi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC Luc Eymael Raia wa Ubelgiji aliwaza nini hadi kusema kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe?
 
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
 
Yaani mnamtafuta mchawi ilihali mnaye maungoni mwenu! Wale ng'ombe 400 wangeliwa na nani Kama Danby ingechezwa? Chemsheni bongo zenu.
 
Utopwinyo wana mtindio wa ubongo si bure
 
Barua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201
Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000. Ambazo zimeainishwa kwenye kipengele namba 17 kwenye barua yenye vipengele 19

Katika kipengele namba 18 wamesisitiza kuwa hawako tayari kuicheza mechi namba 184 katika msimu huu. Na kwamba mechi ilihairishwa Kwa makosa ya maksudi ya Simba Kwa hiyo wanastahili alama 3

Mwisho Yanga wanasisitiza kama madai Yao ya kupewa alama 3 na magoli 3 pamoja na fidia ya maandalizi ya mchezo.

Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Na kama madai hayo hayatazingatiwa, Yanga hawatasita kulipeleka suala hii katika mamlaka ya juu zai

Barua hii imewasirishwa tarehe 10 March, 2025

Imeandikwa na Andre Mtine
Mtendaji mkuu Young Africans sc
TFF wafungue kesi pia ya watendaj wa Yanga kuleta fujo kweny ligi yetu kwa kupiga mashabiki na waandishiwa habari kisha kuvamia viwanja kuzuia watu wasifanye mazoez pia uongoz wa Yanga hawaja wai hata kemei tendo moja kati ya haya watu wamekuwa wanafanya kweny mpira wa Tz
 
Barua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201
Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000. Ambazo zimeainishwa kwenye kipengele namba 17 kwenye barua yenye vipengele 19

Katika kipengele namba 18 wamesisitiza kuwa hawako tayari kuicheza mechi namba 184 katika msimu huu. Na kwamba mechi ilihairishwa Kwa makosa ya maksudi ya Simba Kwa hiyo wanastahili alama 3

Mwisho Yanga wanasisitiza kama madai Yao ya kupewa alama 3 na magoli 3 pamoja na fidia ya maandalizi ya mchezo.

Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Na kama madai hayo hayatazingatiwa, Yanga hawatasita kulipeleka suala hii katika mamlaka ya juu zai

Barua hii imewasirishwa tarehe 10 March, 2025

Imeandikwa na Andre Mtine
Mtendaji mkuu Young Africans sc
Fidia za mabaunsa
 
Back
Top Bottom