Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

Basi hapo vyura mnaona pesa za bure ziiileee hadi udenda unawatoka.

Hawapati hata senti. Katika hiyo milioni 58 watuambie ngapi walishampa Arajiga? Watuambie ngapi ni malipo kwa wale wahuni wa getini.

Kwani waliowafungulia geti lisilo rasmi mkaingia kama wahuni si ni hao hao?
Kulaaaa mtori
Nyama ziko chiniii
 
Hebu tuwasikilize wazamin wa kipindi chetu👇👇👇
 
Attachments

  • FB_IMG_1741259157798.jpg
    FB_IMG_1741259157798.jpg
    50 KB · Views: 1
Ubabe ujeuri dharau kiburi havitaisaidia hii timu. Huyo anayeiendesha hii timu kwa nyuma ambaye hatumuoni ndio ataizamisha hii timu au atasabisha Tanzania tufungiwe kabisa.
Yaani Yanga anayesimamia kanuni asababishe TZ ifungiwe? Uko sawa wewe
 
Sio inaonesha Bali jua ya kwamba siku zote timu hii imekua na wajinga wengi kuanzia uongozi Hadi huku kwa mashabiki, na zaidi viongozi Wana kiburi, ujeuri, dharau kwa mamlaka za mpira ikiwemo tff na bodi ya ligi..sasa nawaambia Hawa wajinga na ubabe wao na kiburi , kitakachotokea ni hiki, kwenye hizi futari futari za kitaifa ambazo watu wa serikali wanakuepo kuanzia rais au waziri wakuu ama naibu wake ama makamu wa rais, mmoja wao atasema au atamwambia mzee wangu Karia kua naitaji kua mgeni rasmi katika mechi ya Derby , ghafla tarehe itapangwa na mgeni rasmi (mtu mkubwa) anasema atakuepo, Sasa wewe unayesema huleti timu mara hutacheza basi tuone usilete timu
Kwakusema hivyo unaashiria kwamba Yanga yuko sahihi kwa kufuata kanuni ila kitakachoenda kutokea ni influence ya wanasiasa kutaka kubadilisha upepo na kubalance utumbo wa bodi ya ligi na Simba.
 
Hamkuwa hata na jezi zinazotambulika na TFF, mlijiandaa kucheza mechi ipi hiyo? Halafu unasema mlitimiza wajibu wenu wakati jezi tu mlishindwa kuwa nazo.

Kwani kama kwa tafsiri yako ile barua ndiyo imetaja kuwa uamuzi wa mwisho umeshafanyika, basi tuambie wewe hiyo tarehe ya mechi ya marudiano.

Kama mmefikia hatua ya kutunga stori za mbuzi, kuku na vizee ni dhahiri kuwa mmeshtukia kuwa mmeingia cha kike. Kwanza wanaume gani nyie mnaogopa mbuzi? Mnaogopa kuku? Mnaogopa wazee? Ndiyo maana tabia zenu nyingi zina ukakasi.

Kama mmefikia levo za kuwakana mabausa wenu ni dhahiri mmeshashtukia mmeingia cha kike.
Tokea lini TFF wakatoa jezi kwa timu ya Yanga kabla ya mechi, Yanga ni taasisi haifanyi kazi kupitia Instagram, hakupata barua Officially,tulienda uwanjani kama fixture inavyo tutaka so Yanga walitimiza wajibu wao. TFF na bodi ndio wawajibu Yanga, kwani wapinzani hawakutokea, kwa nini hawa kuwataarifu Officially na kwa nini wasiwape Yanga points tatu.Nyie inaonekana mnafanya kazi kupitia Social networks hata barua mnapokea kupitia Social networks.

Najua huwezi kuelewa demand za Yanga kwani nyie mmechagua kususa mechi zote zilizo baki. Ngojea tuone msimamo wenu kwa Dodoma jiji,wazee wa kanuni.
Screenshot_20250311_111137_Instagram.jpg
 
Kwakusema hivyo unaashiria kwamba Yanga yuko sahihi kwa kufuata kanuni ila kitakachoenda kutokea ni influence ya wanasiasa kutaka kubadilisha upepo na kubalance utumbo wa bodi ya ligi na Simba.
Nasema hivi kama nyinyi ni wanaume msilete timu siku hio, mnafanya UHUNI kwanza adhabu inaandaliwa kwa ajili ya tukio la wahuni mliowatuma kuwazuia Simba, pili Kuna adhabu ya kukaidi amri ya kutoleta timu uwanjani baada ya kuahirishwa ikionesha kiburi na dharau kwa mamlaka ya mpira.
 
Huyo mtu mkubwa hamuwezi kumuingiza choo cha kiume hata siku moja. Anajitambua yule, the same to washauri wake.
Mimi sijamtaja , wakubwa wako wengi nchi hii kwenye hierarchy ya uongozi...upo hapo ...wao kama ndio Wana akili na serikali hawana basi wasilete timu siku hio.
 
Tokea lini TFF wakatoa jezi kwa timu ya Yanga kabla ya mechi, Yanga ni taasisi haifanyi kazi kupitia Instagram, hakupata barua Officially,tulienda uwanjani kama fixture inavyo tutaka so Yanga walitimiza wajibu wao. TFF na bodi ndio wawajibu Yanga, kwani wapinzani hawakutokea, kwa nini hawa kuwataarifu Officially na kwa nini wasiwape Yanga points tatu.Nyie inaonekana mnafanya kazi kupitia Social networks hata barua mnapokea kupitia Social networks.

Najua huwezi kuelewa demand za Yanga kwani nyie mmechagua kususa mechi zote zilizo baki. Ngojea tuone msimamo wenu kwa Dodoma jiji,wazee wa kanuni.
View attachment 3267210
Kila siku unatuletea post ya Magori ya mitandao ya kijamii wakati huo huo unasisitiza kuwa nyie hamfanyi kazi kwa habari za mitandao ya kijamii ndiyo maana watu wanakuignore kila ukija na hiyo post maana unaonekana haujitambui. Unashangaza sana.
 
Hiki kinachofanywa na Yanga sasa kwa maoni ya mashabiki wa SImba wanaona ni ujinga. Ila ule uhuni waliofanyawao wanaona ni sahihi.
Hiki mnachotaka kuhalalisha wakifanya wengine mnaona ni uhuni.
Naamini kuwa shabiki wa SImba ni kipaji aisee.
Sasa uliona wapi duniani timu inadai point kwa mechi iliyokuwa imeahirishwa na viongozi wa ligi?Ni mataahira pekee wataamini hapo eti Yanga ana hoja ya kumtisha mtu yeyote
 
Nasema hivi kama nyinyi ni wanaume msilete timu siku hio, mnafanya UHUNI kwanza adhabu inaandaliwa kwa ajili ya tukio la wahuni mliowatuma kuwazuia Simba, pili Kuna adhabu ya kukaidi amri ya kutoleta timu uwanjani baada ya kuahirishwa ikionesha kiburi na dharau kwa mamlaka ya mpira.
Hakutakua na hiyo siku maana huko hatutafika kabisa.
 
PAle MSIMBAZI kumejaa mashsoga wengi sana loh
 
Sasa uliona wapi duniani timu inadai point kwa mechi iliyokuwa imeahirishwa na viongozi wa ligi?Ni mataahira pekee wataamini hapo eti Yanga ana hoja ya kumtisha mtu yeyote
Ukishafanya pre match meeting ni ishara tayari kuwa match umeanza
Hakuna kuhairishwa match baada ya pre match meeting
 
Na wana lunyas tutawapuliza tu ili mpate cha kusingizia oooh sisi mechi tulikua tumesha igomea ni kina jk tu walituforce
 
Kila siku unatuletea post ya Magori ya mitandao ya kijamii wakati huo huo unasisitiza kuwa nyie hamfanyi kazi kwa habari za mitandao ya kijamii ndiyo maana watu wanakuignore kila ukija na hiyo post maana unaonekana haujitambui. Unashangaza sana.
Kwani Magori humjui nani? Uzuri sipo humo kurizisha watu.Wewe ndio hujitambui na timu yako inayofanya kazi kupitia Instagram wote hamjitambui,inawezakana timu yako haina mifumo ya kupokea barua officially.
 
Ndo mtavuana nguo na bodi ya ligi
Mseme mliwahonga bei gani hadi mtangaze uhuni Kwa uma
Kwa wanasheria gani mlio nao,au ni hawa ambao hawajawahi kushinda kesi hata moja?
 
Back
Top Bottom