joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sasa mimi kuisoma barua mtandaoni ni sawa na taasisi kama Yanga?Yanga inaofisi walicho tegemea ni barua officials iliyofuata taratibu.Kama unaitambua kauli ya mtu aliyoitoa mtandaoni, hata kama ni kiongozi, lakini amesema maneno ambayo hayapo katika barua rasmi unayoitambua ya klabu, inakuwaje unasema hautambui barua rasmi ya bodi ya ligi kisa umeisoma mtandaoni?
Inakuwaje unachagua kipi cha kutambua na kipi si cha kutambua?
Inakuwaje kauli ya mtu mmoja unaipa uzito kuliko barua rasmi ya taasisi?
Ukiweza kuyajibu hayo maswali naamini hoja zako zitayeyuka kama mvuke.
Nani kachagua cha kutambua.Kauli ya mtu mmoja inafanana na kile kilicho andikwa kwenye barua na tena ni decision maker wa klabu yenu,maana yake yale ni maamuzi ya club.