Umesema Kolo FC ,sasa kwani Kolo FC ndiyo Yanga? Wewe vipi kila taasisi inautaratibu wake wa kazi, kuna taasisi weekend hazifanyi kazi,kuna nyingine zinafanya,Yanga Jumamosi ni siku ya mapumziko,ila kwa kuwa walikuwa wenyeji ratiba ya club ilikuwa ni maandalizi ya mechi,shughuli. Mfano mmeenda uwanjani meneja hamkumpa taarifa na yeye kiutaratibu smda wake wa kazi ushaisha.
So kila klabu ina mifumo yake officially ya kufanya kazi,Ninavyojua mimi ili mechi ihairishwe taarifa inatakiwa kabla ya masaa 72 mechi kuchezwa,labda kuwe na dharala,Mvua,issue za umeme,ulaya kule labda barafu.Sasa walio weka hayo kabla ya masaa 72 walikuwa wajinga? Unakurupuka siku hiyo hiyo unatoa taarifa kwani kulikuwa na dharula gani.