SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Yanga inaendeshwa kihuni sana, utoto mwingi.Akili hawana, hasa viongozi wao, mimi nilishangaa Bodi ya ligi imetoa taarifa ya kuhairisha mechi halafu wao wakapeka timu uwanjani, watu bado wanajiuliza kilichotokea, wamepeleka basi Mo Arena, wakidai ni utani, hakuna utani wa staili hizo kwenye wakati wa taharuki, na pia utani uko kwa mashabiki na sio watu wa management, wangeweza kudhurika na sijui wangesemaje! Wanjitia ubabe usio na maana yoyote, subiri uone kitakachotokea, hawatakaa waamini!