SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Haushangai hamna mtu anaongelea post ya Magori isipokuwa wewe tu umeikomalia toka juzi? Embu jishangae basi kidogo labda akili itakurudia.Nikuchoshoshe kwani nimekuita humu JF? Unajipa umuhimu wakati sikufahamu.
Aliyepayuka kiongozi wenu, kutoka kwenye management yenu ambaye ni decision maker wenu.