Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nlikuwa naikubal Yanga ila nmeshangazwa na baadhi ya tabia za watu wa Yanga , ni kama vile wapo karne ya 2 ilihali mtu yupo karne ya 21 , Simba walikuwa kweny haki yao kwenda kufanya mazoez na watu wa Yanga wangekuwa na dukuduku wangewasilisha maoni yao kwa TFF ila mkafanya fujo na bado uongoz wa Yanga unaona ni sahihi yale yamefanywa na watu wao maan uongoz wa Yanga haujakemea kuhusu lile tukio , ina maana uongox wa Yanga ni akili moja na wale mabaunsa wa drs la 7 C kuwa Simba alienda kuroga na sio kufanya mazoez .Hiki kinachofanywa na Yanga sasa kwa maoni ya mashabiki wa SImba wanaona ni ujinga. Ila ule uhuni waliofanyawao wanaona ni sahihi.
Hiki mnachotaka kuhalalisha wakifanya wengine mnaona ni uhuni.
Naamini kuwa shabiki wa SImba ni kipaji aisee.
Mtendaji Gani wa Yanga alikuwa pale uwanjani?TFF wafungue kesi pia ya watendaj wa Yanga kuleta fujo kweny ligi yetu kwa kupiga mashabiki na waandishiwa habari kisha kuvamia viwanja kuzuia watu wasifanye mazoez pia uongoz wa Yanga hawaja wai hata kemei tendo moja kati ya haya watu wamekuwa wanafanya kweny mpira wa Tz
Hamkuwa hata na jezi zinazotambulika na TFF, mlijiandaa kucheza mechi ipi hiyo? Halafu unasema mlitimiza wajibu wenu wakati jezi tu mlishindwa kuwa nazo.Simple.
Majibu ya swali lako.
Tumeenda uwanjani, hatukupata taarifa OFFICIALLY,Tunahaki ya kudai points zetu tatu hata kama kamisaa hakuja, sasa hapo TFF watupe sababu ya kikanuni kwa nini mechi ilifutwa na kwa nini wao hawakuleta hao Makamisaa, sisi kwa upande wetu tumetimiza wajibu wetu,kama tunavyofanya kwenye mechi nyingine. Ndio maana kwenye hiyo barua tumetoa tunacho kitaka.
Au unazani Yanga haina haki ya kuiwajibisha TFF hata kama TFF wakikosea?
Kwani kama kwa tafsiri yako ile barua ndiyo imetaja kuwa uamuzi wa mwisho umeshafanyika, basi tuambie wewe hiyo tarehe ya mechi ya marudiano.Leoo nimecheka sanaa kaulizwa mouuzi MMOJA WA BODI magutti sijui
YANGA wamesema hawatachezana wanataka pt tatu na WATAENDA popote kuzidai
Akadai anaomba YANGA wawe wapole hatujatoaanmamuzi ya mwishoo
Wakaulizwa mbona kwenye BARUA YENU mmeshandika mtataja tar ya mechi kurudiwa nnejuaje itahitajika kurudiwa alivyo fala akakata simu
Kama mmefikia hatua ya kutunga stori za mbuzi, kuku na vizee ni dhahiri kuwa mmeshtukia kuwa mmeingia cha kike. Kwanza wanaume gani nyie mnaogopa mbuzi? Mnaogopa kuku? Mnaogopa wazee? Ndiyo maana tabia zenu nyingi zina ukakasi.Ukae kwa kutulia wewe ukae kwaa kutulia kabisa wale Mbuzi na Kuku mlikua mnawapeleka kufanya nini uwanjani na vizee vyenu vyenye macho mekundu?
Kama mmefikia levo za kuwakana mabausa wenu ni dhahiri mmeshashtukia mmeingia cha kike.Wale watu wenu wenyewe msisingizie Yanga. Nyie jamaa mnakera sana na uhuni wenu mnatuharibia mpira.
hukemei fujo za watu wako unataka watu wawavumilie kwa wendawazimu wenu ? MLIANZA PIGA MASHABIKI , KISHA KUZUIA WATU KUHOJIWA LEO MNAZUIA MAZOEZWalikuwa wnaa test mkuu
YANGA tutaifwata hizo pt tatu hadi cas
Yanga haina mabaunsanlikuwa naikubal Yanga ila nmeshangazwa na baadhi ya tabia za watu wa Yanga , ni kama vile wapo karne ya 2 ilihali mtu yupo karne ya 21 , Simba walikuwa kweny haki yao kwenda kufanya mazoez na watu wa Yanga wangekuwa na dukuduku wangewasilisha maoni yao kwa TFF ila mkafanya fujo na bado uongoz wa Yanga unaona ni sahihi yale yamefanywa na watu wao maan uongoz wa Yanga haujakemea kuhusu lile tukio , ina maana uongox wa Yanga ni akili moja na wale mabaunsa wa drs la 7 C kuwa Simba alienda kuroga na sio kufanya mazoez .
Achana na hii pili , Mabaunsa wa Yanga tumewaona mara kadhaa wakipiga watu msimu huu , kituko TFF walikuwa kimya , Uongoz wa Yanga nao walikuwa kimya , ni msemaj wa simba tu ndo akitoa kaul ya kukemea
HAPA TUNAAMIN PALE YANGA WENYE AKILI JI WAWILI TU
IFIKE MUDA MASHABIKI WA YANGA MUANZE KUBEHAVE KAMA WANADAMU WENYE UBONGO KICHWAN
UCHAWI HAUCHEZ MPIRA , MPIRA NI UWEKEZAJ , UONGOZ WA YANGA UNAWAPUMBAZA SANA MASHABIKI WA YANGA KWA KUKALIA KIMYA HIZI DHANA ZA OVYO
Mbuzi leo wanawatishaje wakati mnawala supu kila siku pale jangwani au wale ni nguchiro?Ukae kwa kutulia wewe ukae kwaa kutulia kabisa wale Mbuzi na Kuku mlikua mnawapeleka kufanya nini uwanjani na vizee vyenu vyenye macho mekundu?
kwa akil yako ya drs la 7 B hujui wale mabaunsa ni waajiliwa wa Yanga ? je unataka watu wauliwe ndo ukemee ?Mtendaji Gani wa Yanga alikuwa pale uwanjani?
Sababu Wana adhabu xao zinaawasubiriahukemei fujo za watu wako unataka watu wawavumilie kwa wendawazimu wenu ? MLIANZA PIGA MASHABIKI , KISHA KUZUIA WATU KUHOJIWA LEO MNAZUIA MAZOEZ
HV YANGA NAN ALIWAROGA ?
Acha kuwa mbumbumbukwa akil yako ya drs la 7 B hujui wale mabaunsa ni waajiliwa wa Yanga ? je unataka watu wauliwe ndo ukemee ?
Ukiitwa nyan unaita watu wabaguz , kwamba mpk umuone GSM anazuia mtu kuingia uwanjan ndo ukumbuke kukemea
MPIRA NI BURUDANI NA SIO FUJO
WATU WA YANGA MNAHISI MPIRA NI VITA
HIZ FUJO MKAWAFANYIE CCMU WANAOIBA FUTURE YENU
basi uki nukuu huo msemo unahisi unamsema mtu na mimi nikiusoma nakuona wewe ndio hamnazoHakuna umasikini Mbaya kama Umasikini wa Fikra.
Mwalimu Jk Nyerere.
hv unahisi hatuwajui hao , uzur video zipo na ndo wale wale wamekuwa wanapiga watu mara kwa mara. TFF waoga sana ilibid waanze na hao was3ng , wanataka jenga tabia ya hovyo hapa Tz , itafika wakat watu wataanza ogopa kwenye kuangalia mechi na hii itakimbiza wadhamin na kuua ligi kabisaYanga haina mabaunsa
Yanga haina watendaji mabaunsa.
Hao mabaunsa walikuja nao Simba na kujifanya ni watu wa Yanga ili wakimbie mchezo
huna Tv kwani ? watu wa Yanga dish limeyumba , badala ya kukemea huo uhuni wew bado unaonesha kushabikia matukio ya kiharifu , najua huna akili ya kuona hata kesho yako ila tambua , tabia ukomaa kama uyogaAcha kuwa mbumbumbu
Nimekwambia kwenye watendaji wa Yanga
Yanga haina kitengo cha mabaunsa
Yanga Huwa wanachukua ulinzi wa police
Yaani hao mabaunsa wazuie vip msafara wa Simba uliosindikizwa na police?
Ajiulize hili swali we mbumbumbu
Wakawadai wahuni waliowatuma dadeeki wamekwisha!Barua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201
Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000. Ambazo zimeainishwa kwenye kipengele namba 17 kwenye barua yenye vipengele 19
Katika kipengele namba 18 wamesisitiza kuwa hawako tayari kuicheza mechi namba 184 katika msimu huu. Na kwamba mechi ilihairishwa Kwa makosa ya maksudi ya Simba Kwa hiyo wanastahili alama 3
Mwisho Yanga wanasisitiza kama madai Yao ya kupewa alama 3 na magoli 3 pamoja na fidia ya maandalizi ya mchezo.
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Na kama madai hayo hayatazingatiwa, Yanga hawatasita kulipeleka suala hii katika mamlaka ya juu zai
Barua hii imewasirishwa tarehe 10 March, 2025
Imeandikwa na Andre Mtine
Mtendaji mkuu Young Africans sc
vipi mgeni rasmi akizomewa mwanzo mwisho na washabikiSio inaonesha Bali jua ya kwamba siku zote timu hii imekua na wajinga wengi kuanzia uongozi Hadi huku kwa mashabiki, na zaidi viongozi Wana kiburi, ujeuri, dharau kwa mamlaka za mpira ikiwemo tff na bodi ya ligi..sasa nawaambia Hawa wajinga na ubabe wao na kiburi , kitakachotokea ni hiki, kwenye hizi futari futari za kitaifa ambazo watu wa serikali wanakuepo kuanzia rais au waziri wakuu ama naibu wake ama makamu wa rais, mmoja wao atasema au atamwambia mzee wangu Karia kua naitaji kua mgeni rasmi katika mechi ya Derby , ghafla tarehe itapangwa na mgeni rasmi (mtu mkubwa) anasema atakuepo, Sasa wewe unayesema huleti timu mara hutacheza basi tuone usilete timu
kuna uhuni kuzidi kwenda sehemu na mbuzi bila taarifahuna Tv kwani ? watu wa Yanga dish limeyumba , badala ya kukemea huo uhuni wew bado unaonesha kushabikia matukio ya kiharifu , najua huna akili ya kuona hata kesho yako ila tambua , tabia ukomaa kama uyoga
Huyo mtu mkubwa hamuwezi kumuingiza choo cha kiume hata siku moja. Anajitambua yule, the same to washauri wake.Nasema hivi, mechi ipo, tarehe itapangwa na mgeni rasmi atakua (mtu mkubwa nchi hii) Mimi sjui nani, Sasa nyinyi msilete timu tuone nani ni mkubwa kati yenu na serikali...
Basi hapo vyura mnaona pesa za bure ziiileee hadi udenda unawatoka.Sheria zinawataka wawape MASAA kadhaa na wasipojibiwa wanaenda caf Wana cc fifa
CAF Nako kuna siku kadhaa wasipotia msimamo Wana Ngoma inogile inaitwa cas huko fiffa huko hawatumii condom n helà yako tu
Tff inayoshtakiwa inalipa doller kadhaa na wewe mshtaki doller kadhaa
Anashinda anamlipa mwenzie pesa alizotoaa..na kule 5 days mnapokea zigoo LENU kana hawana kesi nyingi
Hawapati hata senti. Katika hiyo milioni 58 watuambie ngapi walishampa Arajiga? Watuambie ngapi ni malipo kwa wale wahuni wa getini.Swali, je? Hizo wanazitaka ni kwa ajili ya kuwafidia mashabiki au ni kwa ajili ya club? Hata hivyo sioni wakitoboa kwenye hili labda points
Kwani waliowafungulia geti lisilo rasmi mkaingia kama wahuni si ni hao hao?Acha kuwa mbumbumbu
Nimekwambia kwenye watendaji wa Yanga
Yanga haina kitengo cha mabaunsa
Yanga Huwa wanachukua ulinzi wa police
Yaani hao mabaunsa wazuie vip msafara wa Simba uliosindikizwa na police?
Ajiulize hili swali we mbumbumbu
Pengine hata huelewi kinachoendelea. Yanga hana muda wa kusubiri uamuzi wowote kwa sababu alishaweka wazi mapema kwamba hatacheza mechi nyingine ya ligi kuu na Simba kwa sababu hakukua na kanuni iliyosababisha mechi hiyo kuahirishwa.Yanga kama timu inajitekenya na hapo hapo ili kujichekesha. Nasisitiza ni Yanga kama timu na si mashabiki. Uongozi punguzen kukurupuka na maandiko matamko kila kukicha kwa matarajio ya kuinfluence uamuzi wa bodi ya ligi ilhali uamuzi bado haujatolewa.