felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
Nasema hivi, mechi ipo, tarehe itapangwa na mgeni rasmi atakua (mtu mkubwa nchi hii) Mimi sjui nani, Sasa nyinyi msilete timu tuone nani ni mkubwa kati yenu na serikali...Hiki kinachofanywa na Yanga sasa kwa maoni ya mashabiki wa SImba wanaona ni ujinga. Ila ule uhuni waliofanyawao wanaona ni sahihi.
Hiki mnachotaka kuhalalisha wakifanya wengine mnaona ni uhuni.
Naamini kuwa shabiki wa SImba ni kipaji aisee.