Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

Hata kama wangewapa mwaka, wajiandae kisaikolojia kupeleka timu tarehe husika ikipangwa
 
Hivi viongozi wa hii team ni ma professional kweli au ni kikundi cha wahuni maana kama walikuwa na uchungu na hela waliowekeza why watume bodyguard kufanya fucho
Na je palikuwa hakuna mtu mwenye akili timamu ambae angewashauri ma bodyguard waiache Simba ingie kufanya mazoezi na yanga wangetumia njia nyingine kuona Simba ambacho walitaka kwenda kufanya uwanjani na hao Mbuzi
Ili wapate sehemu ya kumbana Simba kwenye vyombo vya sheria
 
Una uhakika kuwa pale walikuwa baunsa wa Yanga
Na nani alikwambia kuwa Yanga ina mabaunsa
Simba waliandaa vibaka wao wakasema ni WA Yanga
 
Hamieni burundi stupid,mlivyopeleka basi bunju nikajua wenye akili ni wawili tu
 
Kanusho la nini wakati timu imeenda uwanjani.

Taasisi yako ya Kindezi ndio maana imepokea maagizo Instagram na kuyakubali.Tasisi yenu inaendeshwa kama Instagram page ya Baba levo.
 
Kanusho la nini wakati timu imeenda uwanjani.
Na hapo ndipo mliuthibitishia ulimwengu kwamba nyie ni ndezi...

Endeleeni kusubiri points 3 na magoli na mtapata kindezi ndezi kwa kupewa na ndezi wenzenu 🐸🐸wahedz nyie
 
We kilaza acha ujinga , Point 3 sahau Hilo haujatimiza kigezo hata Kimora cha kupewa Point 3.

Yani Hilo halitawez3kana abadan kupewa Point 3 sahau kabisa akilini mwako.
Natumia busara ya kiutu uzima kuamua kukujibu kiustaarabu huku nikikumbushwa kwa sasa nipo Kwaresma nitapata majaribu kama haya kujaribu kutoana kwenye reli.

Nakushauri acha ushabiki tumia bongo yako vizuri unapochangia mada zinazokuzidi uwezo. Asante
 
kwa sasa nipo Kwaresma nitapata majaribu kama haya kujaribu kutoana kwenye reli.
Ungekuwa kwaresma usingekuwa hapa kwa huu uzi wa kindezi yaani ulipaswa kuwa katika Ibada home or church.

Hebu twambie Unatafuta nini kwa huu uzi ilhali upo kwaresma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…