Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Manara katukosea sana wana Jangwani kwamba wenye akili ni baba yake na Kikwete tu. Yaani ukiangalia mambo Yanga wanafanya, mashabiki zao points wanazoandika ni kama kuna kaukweli hivi.
Hii kauli inaumiza sana, ametutukana na tukampokea na sasa anagombana na TFF tuko naye lazima kieleweke kutekeleza kauli aliyosema. Ametukosea sana kwamba wenye akili ni wawili Tanzania yote yenye mikoa zaidi ya 25, mwenye akili mmoja anapatikana Pwani(Msoga) na mwingine yuko Dar Es Salaam.
Hii kauli mimi kama mwana Yanga inanivunja sana moyo.