Yanga wenye akili ni wawili, Manara katukosea sana

Yanga wenye akili ni wawili, Manara katukosea sana

Hata kama akitengua kauli ama kuomba radhi hawezi kufuta hiyo kauli yenye ukweli wote.
Halafu..!! Manara aliyatamka yale akiwa SImba..!! Kwamba anaendeleza utani wa jadi kwa namna ile.. Bwana RAGE yeye aliyasema ya UMBUMBUMBU wa wana Simba HUKU AKIWA NI MWENYEKITI WA SIMBA..!! Unaweza ukaiona hiyo tofauti..!!
Kwa maneno mengine, MANARA alikuwa anaendeleza utani wa jadi, lakini RAGE ALIMAANISHA KUWA WANASIMBA NI MAMBUMBUMBU maana aliyasema hayo akiwa ndani ya Simba na tena. Inawezekana na yeye alijiita ni MBUMBUMBU maana wakati anayatamka hayo nawe alikuwa mwanasimba
 
Mkuu uwe na AMANI , Manara hakukosea bali alichosema ni ukweli . Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Vipi kuhusu hili la kinyesi kugonga chupi , lenyewe haliwaumizi?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Halafu..!! Manara aliyatamka yale akiwa SImba..!! Kwamba anaendeleza utani wa jadi kwa namna ile.. Bwana RAGE yeye aliyasema ya UMBUMBUMBU wa wana Simba HUKU AKIWA NI MWENYEKITI WA SIMBA..!! Unaweza ukaiona hiyo tofauti..!!
Kwa maneno mengine, MANARA alikuwa anaendeleza utani wa jadi, lakini RAGE ALIMAANISHA KUWA WANASIMBA NI MAMBUMBUMBU maana aliyasema hayo akiwa ndani ya Simba na tena. Inawezekana na yeye alijiita ni MBUMBUMBU maana wakati anayatamka hayo nawe alikuwa mwanasimba
lakini pia yule kocha Lucy maneno aliyoongea yalikuwa mazito
 
basi aombwe aongeze wawe watatu Tate Mkuu awe mtu wa tatu
Mnahitaji kupewa tuzo aisee kwa kuyasikiliza, na kuyaenzi maneno ya mtu kama Haji Manara!

Binafsi namchukulia huyo jamaa kama mropokaji fulani hivi, asiyeweza kuuzuia mdomo wake kuongea chochote kile kinachomjia kutoka kwenye akili yake.
 
Hawa jamaa huwa wanatafta faraja hapo amekaa akawaza jinsi timu yao inawapa mateso akatafta angle ya kugawana maumivu siku hizi neno bahasha limeyayuka tangu tulivyo wabashia August 13
 
acha unafiki
USIUMIE SANA MWINGINE WA 3 ATAPATIKANA BAADA YA SENSA AUGUST 23 HUENDA NDO WEWE, OMBI: KUWA TAYARI KUHESABIWA BAHATI YA KUWA NAMBA TATU ISIKUPITE, MI NPO TAYARI UKICHEZA HIYO NAMBA 3 NAKUA MIMI[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora mbumbu kuliko kutokua na akili. Mbumbu ni mtu asiyejua ktu fulani kwa wakati fulani ila huna akili maana nyie mna utindio wa ubongo pole sana Dabil mwana utopolo pro max underscore Lunyasi hahahhahahhah
 
Back
Top Bottom