Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani Tanzania nzima ni wawili tu,kuna kocha naye kuna neno alizungumza halifai ,eti sisi ni manyani.Bora mbumbu kuliko kutokua na akili. Mbumbu ni mtu asiyejua ktu fulani kwa wakati fulani ila huna akili maana nyie mna utindio wa ubongo pole sana Dabil mwana utopolo pro max underscore Lunyasi hahahhahahhah
Huyu mwingine naye alisema hiviUnamkumbuka aliyesema SIMBA WOTE NI MBUMBUMBU?
Kwa hiyo tukubaliane nyinyi mashabiki wa simba, pia ni wafuasi waaminifu kabisa wa ndugu yenu Haji Manara! Maana kila anacho ongea mnakiamini.Bora mbumbu kuliko kutokua na akili. Mbumbu ni mtu asiyejua ktu fulani kwa wakati fulani ila huna akili maana nyie mna utindio wa ubongo pole sana Dabil mwana utopolo pro max underscore Lunyasi hahahhahahhah
Haji Manara ni mwananchi na kadi anayo wewe unataka kusema nini kwa mfano? Nikuulize wewe unayo kadi?Kwa hiyo tukubaliane nyinyi mashabiki wa simba, pia ni wafuasi waaminifu kabisa wa ndugu yenu Haji Manara! Maana kila anacho ongea mnakiamini.
Kama mtakubali, basi na sisi tutakubali hatuna akili.
Vipi morison alivysema watu wengi wa yanga hamjasoma siku ya mwananchi day alikuwa anamtania nani?Halafu..!! Manara aliyatamka yale akiwa SImba..!! Kwamba anaendeleza utani wa jadi kwa namna ile.. Bwana RAGE yeye aliyasema ya UMBUMBUMBU wa wana Simba HUKU AKIWA NI MWENYEKITI WA SIMBA..!! Unaweza ukaiona hiyo tofauti..!!
Kwa maneno mengine, MANARA alikuwa anaendeleza utani wa jadi, lakini RAGE ALIMAANISHA KUWA WANASIMBA NI MAMBUMBUMBU maana aliyasema hayo akiwa ndani ya Simba na tena. Inawezekana na yeye alijiita ni MBUMBUMBU maana wakati anayatamka hayo nawe alikuwa mwanasimba
Na kumpokea hapo kwenye kakikund kenu mnakokaita timu inamaansha mmekubaliana na kauli zake.Manara katukosea sana wana Jangwani kwamba wenye akili ni baba yake na Kikwete tu.
Yaani ukiangalia mambo Yanga wanafanya ,mashabiki zao points wanazoandika ni kama kuna kaukweli hivi.
Hii kauli inaumiza sana,ametutukana na tukampokea na sasa anagombana na TFF tuko naye lazima kieleweke kutekeleza kauli aliyosema.
Ametukosea sana kwamba wenye akili ni wawili Tanzania yote yenye mikoa zaidi ya 25, Mwenye akili mmoja anapatikana Pwani (Msoga) na mwingine yuko Dar es salaam.
Hii kauli mi kama mwana Yanga inanivunja sana moyo.
Tena wanamuenzi na kuyasikiliza maneno yake vizuri mno.kama siyo maana mbona yupo Utopolo
Mbona unalia lia na Manara wewe mbumbumbu,kwani maneno ya Manara ni Zaburi au torati.Manara katukosea sana wana Jangwani kwamba wenye akili ni baba yake na Kikwete tu.
Yaani ukiangalia mambo Yanga wanafanya ,mashabiki zao points wanazoandika ni kama kuna kaukweli hivi.
Hii kauli inaumiza sana,ametutukana na tukampokea na sasa anagombana na TFF tuko naye lazima kieleweke kutekeleza kauli aliyosema.
Ametukosea sana kwamba wenye akili ni wawili Tanzania yote yenye mikoa zaidi ya 25, Mwenye akili mmoja anapatikana Pwani (Msoga) na mwingine yuko Dar es salaam.
Hii kauli mi kama mwana Yanga inanivunja sana moyo.
Haji Manara alikuwa Yanga kama muajiriwa! Tena ni baada ya GSM kupanda dau, mara tu alipogunfua dada yenu Barbra anamlipa mshahara wa laki 7 tu kwa mwezi.Haji Manara ni mwananchi na kadi anayo wewe unataka kusema nini kwa mfano? Nikuulize wewe unayo kadi?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kayasema akiwa si mwana Yanga..!! Hatushangai na wala halishangazi..!! RAGE ALIYASEMA YA UMBUMBUMBU wa wanasimba, akiwa mwenyekiti wa simba. Na umbumbumbu FC wenu ulitokana na kwamba kwenye usajili hela analipa toka mfukoni kwake, halafu huyo aliyesajiliwa, siku anauzwa kwenda timu nyingine hela zilikuwa zinaingia mfukoni kwake..!! Sasa nyie mambumbumbu FC hamkuliona hilo, mkabaki kulalama tuHuyu mwingine naye alisema hivi
AKiongea mwanasimba kuisema Yanga wala si ajabu..!! Ila akiongea mwanasimba kuisema simba na tena ni mwenyekiti wenu..!! Huyo anakuwa amemaanisha..!! Maana mwanasimba hawezi kujitania yeye mwenyewe..!!lakini pia yule kocha Lucy maneno aliyoongea yalikuwa mazito
Si utaje namba ya kadi..!! Au tuwekee kadi yake hapaHaji Manara ni mwananchi na kadi anayo wewe unataka kusema nini kwa mfano? Nikuulize wewe unayo kadi?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Na Mayele anawaumiza hatari..!!! Yaani wao bora awafunge mwingine kuliko Mayele..!! SI unakumbuka hata Mayele alipokosa kiatu, yaa MAKOLO yote yakahamia kwa Mpole..!! Yaani ilimradi tu wamnyanyase Mayele..!! Sasa na yeye anawapatia sana..!! Maana alishawahi sema ana deni na Simba, na kawalipa na kuwakopesha kimoja juu..!!Mbona unalia lia na Manara wewe mbumbumbu,kwani maneno ya Manara ni Zaburi au torati.
Unatafuta njia ya kujifariji[emoji16]..
Mpaka 2030 ndio tutapumzika kuchukua vikombe[emoji12]..
Bado miaka 8 tu kolo wizard..
Ukinuna natuma goli la Mayele...[emoji12]
Msimkane msemaji wenu,kama wewe humtambui wenye Yanga yao wanamtambua na wako naye hata kwenye maujinga yake. Wa kwenu huyo mkuu. Ndugu yako hata akiwa kichaa huwezi kumkataa unatafuta njia ya kumsaidiaHaji Manara alikuwa Yanga kama muajiriwa! Tena ni baada ya GSM kupanda dau, mara tu alipogunfua dada yenu Barbra anamlipa mshahara wa laki 7 tu kwa mwezi.
Na hakuwa Yanga kwa sababu ni mwanachama! Na wala hajawahi kuwa na mapenzi na Yanga, ingawa baba yake mzazi Mzee Sunday Manara ni Yanga damu! Ila Haji aliamua kushabikia timu yenu ya simba. Hivyo msianze kumkana. Mimi Yanga ni zaidi ya mwanachama.
Yuko humu mwambie akutajie mwenyewe mimi hainihusu,ila najua ni mwanachama na alionyesha kadi yake kwenye press moja. Msimkane mwanenu huyo jamani.Si utaje namba ya kadi..!! Au tuwekee kadi yake hapa
ongezea na Nabii TitoUkiangalia vizuri Kuna ka ukweli flani Hivi.
Kindoki.
Maki yanga.
Daudi yanga
Anuary kigeregere nk
Mhhhhhh yani hii timu hapana.
si ndo aliyosema Lucy alikuwa kocha wenuAKiongea mwanasimba kuisema Yanga wala si ajabu..!! Ila akiongea mwanasimba kuisema simba na tena ni mwenyekiti wenu..!! Huyo anakuwa amemaanisha..!! Maana mwanasimba hawezi kujitania yeye mwenyewe..!!
dah ujumbe mzuri maana huko jangwani wamejaa kabwili wengiongezea na Nabii TitoView attachment 2329121