acha unafikiManara katukosea sana wana Jangwani kwamba wenye akili ni baba yake na Kikwete tu.
Yaani ukiangalia mambo Yanga wanafanya ,mashabiki zao points wanazoandika ni kama kuna kaukweli hivi
Hii timu Ina wapumbavu wengi ,kila kitu kulalamika ,mgealikwa mkekuja na malalamiko mengine hatualikwa vizuri au hatukupewa nafasi ya kutoa maoni kwenye mkutano...
shabiki wa SIMBA wewe tunakujua.sasa mkuu nisitoe maoni yangu hata kama sina akili?
Unamkumbuka aliyesema SIMBA WOTE NI MBUMBUMBU?Manara katukosea sana wana Jangwani kwamba wenye akili ni baba yake na Kikwete tu...
Utoe maoni huku ukiacha kudanganya kuwa wewe ni mwana YANGAsasa mkuu nisitoe maoni yangu hata kama sina akili?
Pitia hapa chini, uone kuwa nyie ni MAMBUMBUMBU FCSijawahi kusikia
Hizo akili za Manara zitoke wapi?Manara katukosea sana wana Jangwani kwamba wenye akili ni baba yake na Kikwete tu.
Yaani ukiangalia mambo Yanga wanafanya...
Na hajawahi tengua kauli hii wala kuomba radhi hata baada ya kuhamia.Manara katukosea sana wana Jangwani kwamba wenye akili ni baba yake na Kikwete tu.
Yaani ukiangalia mambo Yanga wanafanya ,mashabiki zao points wanazoandika ni kama kuna kaukweli hivi...
Kauli ya Rage kwamba simba wote ni MAMBUMBUMBU aliwahi kuitengua au kuomba radhi? Kumbuka RAGE aliyasema haya akiwa mwenyekiti wa SimbaNa hajawahi tengua kauli hii wala kuomba radhi hata baada ya kuhamia.
Mkuu, kumbe na wewe ni miongoni mwa wale, ukiwatoa JK na Baba Haji?shabiki wa SIMBA wewe tunakujua.
Kuna uwezekano wewe na huyo star wako, wote hamnazo. Maana ulicho kiandika hapa, hata wewe mwenyewe ukirudia kusoma huwezi kuelewa.Manara katukosea sana wana Jangwani kwamba wenye akili ni baba yake na Kikwete tu.
Yaani ukiangalia mambo Yanga wanafanya ,mashabiki zao points wanazoandika ni kama kuna kaukweli hivi.
Hii kauli inaumiza sana,ametutukana na tukampokea na sasa anagombana na TFF tuko naye lazima kieleweke kutekeleza kauli aliyosema.
Ametukosea sana kwamba wenye akili ni wawili Tanzania yote yenye mikoa zaidi ya 25, Mwenye akili mmoja anapatikana Pwani ( Msoga ) na mwingine yuko Dar es salaam.
Hii kauli mi kama mwana Yanga inanivunja sana moyo.