Yanga wenye akili ni wawili, Manara katukosea sana

Bora mbumbu kuliko kutokua na akili. Mbumbu ni mtu asiyejua ktu fulani kwa wakati fulani ila huna akili maana nyie mna utindio wa ubongo pole sana Dabil mwana utopolo pro max underscore Lunyasi hahahhahahhah
yaani Tanzania nzima ni wawili tu,kuna kocha naye kuna neno alizungumza halifai ,eti sisi ni manyani.
 
Bora mbumbu kuliko kutokua na akili. Mbumbu ni mtu asiyejua ktu fulani kwa wakati fulani ila huna akili maana nyie mna utindio wa ubongo pole sana Dabil mwana utopolo pro max underscore Lunyasi hahahhahahhah
Kwa hiyo tukubaliane nyinyi mashabiki wa simba, pia ni wafuasi waaminifu kabisa wa ndugu yenu Haji Manara! Maana kila anacho ongea mnakiamini.

Kama mtakubali, basi na sisi tutakubali hatuna akili.
 
Kwa hiyo tukubaliane nyinyi mashabiki wa simba, pia ni wafuasi waaminifu kabisa wa ndugu yenu Haji Manara! Maana kila anacho ongea mnakiamini.

Kama mtakubali, basi na sisi tutakubali hatuna akili.
Haji Manara ni mwananchi na kadi anayo wewe unataka kusema nini kwa mfano? Nikuulize wewe unayo kadi?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Vipi morison alivysema watu wengi wa yanga hamjasoma siku ya mwananchi day alikuwa anamtania nani?
 
Na kumpokea hapo kwenye kakikund kenu mnakokaita timu inamaansha mmekubaliana na kauli zake.
 
Mbona unalia lia na Manara wewe mbumbumbu,kwani maneno ya Manara ni Zaburi au torati.

Unatafuta njia ya kujifariji[emoji16]..

Mpaka 2030 ndio tutapumzika kuchukua vikombe[emoji12]..

Bado miaka 8 tu kolo wizard..

Ukinuna natuma goli la Mayele...[emoji12]
 
Haji Manara ni mwananchi na kadi anayo wewe unataka kusema nini kwa mfano? Nikuulize wewe unayo kadi?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Haji Manara alikuwa Yanga kama muajiriwa! Tena ni baada ya GSM kupanda dau, mara tu alipogunfua dada yenu Barbra anamlipa mshahara wa laki 7 tu kwa mwezi.

Na hakuwa Yanga kwa sababu ni mwanachama! Na wala hajawahi kuwa na mapenzi na Yanga, ingawa baba yake mzazi Mzee Sunday Manara ni Yanga damu! Ila Haji aliamua kushabikia timu yenu ya simba. Hivyo msianze kumkana. Mimi Yanga ni zaidi ya mwanachama.
 
Huyu mwingine naye alisema hivi
Kayasema akiwa si mwana Yanga..!! Hatushangai na wala halishangazi..!! RAGE ALIYASEMA YA UMBUMBUMBU wa wanasimba, akiwa mwenyekiti wa simba. Na umbumbumbu FC wenu ulitokana na kwamba kwenye usajili hela analipa toka mfukoni kwake, halafu huyo aliyesajiliwa, siku anauzwa kwenda timu nyingine hela zilikuwa zinaingia mfukoni kwake..!! Sasa nyie mambumbumbu FC hamkuliona hilo, mkabaki kulalama tu
 
lakini pia yule kocha Lucy maneno aliyoongea yalikuwa mazito
AKiongea mwanasimba kuisema Yanga wala si ajabu..!! Ila akiongea mwanasimba kuisema simba na tena ni mwenyekiti wenu..!! Huyo anakuwa amemaanisha..!! Maana mwanasimba hawezi kujitania yeye mwenyewe..!!
 
Na Mayele anawaumiza hatari..!!! Yaani wao bora awafunge mwingine kuliko Mayele..!! SI unakumbuka hata Mayele alipokosa kiatu, yaa MAKOLO yote yakahamia kwa Mpole..!! Yaani ilimradi tu wamnyanyase Mayele..!! Sasa na yeye anawapatia sana..!! Maana alishawahi sema ana deni na Simba, na kawalipa na kuwakopesha kimoja juu..!!
 
Msimkane msemaji wenu,kama wewe humtambui wenye Yanga yao wanamtambua na wako naye hata kwenye maujinga yake. Wa kwenu huyo mkuu. Ndugu yako hata akiwa kichaa huwezi kumkataa unatafuta njia ya kumsaidia

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
AKiongea mwanasimba kuisema Yanga wala si ajabu..!! Ila akiongea mwanasimba kuisema simba na tena ni mwenyekiti wenu..!! Huyo anakuwa amemaanisha..!! Maana mwanasimba hawezi kujitania yeye mwenyewe..!!
si ndo aliyosema Lucy alikuwa kocha wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…